Recent content by itembebhokombe

  1. itembebhokombe

    Tahadhari: CHADEMA tuwe macho kwa hujuma uzinduzi wa kanda ya Magharibi

    Asante mh. Zitto kwa kuonyesha busara zako kwa wanaofikiri mambo ya chama ni weka hadharani kama vile hakuna uongozi na ofisi
  2. itembebhokombe

    Vigogo wapya wa urais 2015

    Urais si kuangalia sura bali ukomavu uzoefu uadilifu uzalendo na msimamo na sioni kinachomkosa wasira na sidhani tutachagua kwa ushabiki!
  3. itembebhokombe

    Cv ya mkoa wa mara toka mtandaoni

    Usisahau pia katika vyuo vikuu inaongoza kwa kutoa viongozi vyuo vikuu hususani marais na sababu ni uwazi msimamo na sio wanafiki ila wanaoleta mada kama hizi ni za kuwagawa watanzania kikabila kikanda tuache ndo kitu mwalimu Nyerere alichokitekeleza.
Back
Top Bottom