Recent content by Italeki

  1. I

    DON'T copy if you can't paste

    Hahaha huyu jamaa inaonekana anaweza kucopy na kupaste... Issue hapa inaonekana hazingatii kabisa mahali ambapo anatakiwa kupaste doc au fold husika,, na hili ni tatizo zaidi, ni bora anayejua kucopy ila hajui kupaste kuliko unajua kucopy na kupaste ila hujui mahali unapotakiwa kupaste.
  2. I

    Akili ya mke wangu Mamndenyi, shoga yake Mwaj na Ladyfurahia

    U are right,,,,...........i think is good cncls
  3. I

    Akili ya mke wangu Mamndenyi, shoga yake Mwaj na Ladyfurahia

    Olalaaaaaaaaa........!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. I

    Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Kwa vile mambo bado ni mabichi tusubiri , jambo la maana hapa ni kuendelea kufwatilia kwa karibu mambo yanavyoenda.. Maana baadhi ya kauli zinachekesha, kwann kama serikali kupitia jeshi la polisi hawakufwatilia mambo haya mapema.???? Mim nashawishika kuamin kuwa serikali yetu bado ina vigogo...
  5. I

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    usiwe na ufinyu wa kuelewa.. Hawa si magaidi na kwanza alekupa mamlaka ya kuwaita hivyo ni nani....kuwa mjanja subiri mahakama iamue......
  6. I

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Jamani hapa kuna kazi..... Sheria kuwa siasa..!!!!!!!!!!!!!!!
  7. I

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Mimi nafikiri ni vyema tuache Mahakama wafanye kazi yao kama kweli wanaifanya kama mhimili huru.. Ila ikumbukwe kwamba siku zote ukweli hujidhihirisha hata kama uongo utakaa kwa muda fulan lakini siku moja watu wataujua ukweli. Hongeren makamanda kwa kuonyesha kuwa sisi c wakorofi wala wavunjifu...
Back
Top Bottom