DON'T copy if you can't paste

DON'T copy if you can't paste

ni kweli hawafikiri....jamaa akipona cjui atachukua hatua gan.
 
Hahaha huyu jamaa inaonekana anaweza kucopy na kupaste... Issue hapa inaonekana hazingatii kabisa mahali ambapo anatakiwa kupaste doc au fold husika,, na hili ni tatizo zaidi, ni bora anayejua kucopy ila hajui kupaste kuliko unajua kucopy na kupaste ila hujui mahali unapotakiwa kupaste.
 
Back
Top Bottom