Adui mkubwa wa barabarani kwa sasa ni malori. Madereva wengi wa malori ni walevi kupindukia, ndio maana karibu kila ajali lori lazima lihusike. Vilevile uchovu wa madereva hawa unachangia ajali kwa kiasi kikubwa.
Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda
Habari!
Kwanza nakupongeza kwa jitihada zako za dhati katika kuboresha hali za wananchi wako wa mkoa hata mikoa mingine ya nchi hii.
Jambo kubwa leo ni jinsi unavyotaka kuwasaidia wakina mama, na dada zetu waliochiwa mzigo mkubwa wa ulezi wa...
Watumishi wengi wa NMB bank wamepata kazi kwa kujuana. Hiyo ndio shida yao kuu...Most of them wameshikwa mikono na ndio kinachowapa kiburi. ila kuwa makini, usije kuhamia bank zinazofilisiwa
RIP mzee wetu...Hakika jina lako lilikuwa kubwa sana nchini kwetu. Mpaka kufikia kubadilishwa maana. Kingunge umekufa. Tangulia mbele za haki, ila tuna 'vingunge' wengi wamebaki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.