Recent content by IT Student

  1. IT Student

    Watu wanaopenda Internet data njooni apa

    Inategemeana na laini unayotumia pia inategemeana na bando ni la wiki au mwezi. Kuna options hizo: Line 1: *148*55# Line2: *149*61# Hizo menu zote ni za mtandao wa halotel. Na kila menu bando za internet zina bei zake. UNAJINUNULIA mwenyewe. Halotel Share Bundle (Zawadi kwa Rafiki) Mimi huwa...
  2. IT Student

    Watu wanaopenda Internet data njooni apa

    Kama unahitaji bundle za Airtel SME. Njoo na namba yako ya simu. Hata kama huna TIN wala leseni. Nitakupatia hiyo menu ya SME then utajiunga mwenyewe kifurushi unachotaka. Hupaswi kutuma pesa ili nikuungie. UNAJINUNULIA BANDO WEWE MWENYEWE. Huduma hii ni BURE
  3. IT Student

    Watu wanaopenda Internet data njooni apa

    Njoo ujipatie hiyo menu ya SME free. Sio lazima uje na TIN number.
  4. IT Student

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Hii unapiga *149*91# then unapata hivyo vifurushi. Kama unahitaji, nicheki ni-activate line yako BURE. Then uendelee kufurahia bando hizo.
  5. IT Student

    Je, kuna ukweli wowote kwamba kipato cha Mwanamke kikiongezeka huwa chanzo cha kuonyesha dharau na kiburi?

    Mara nyingi mwanamke akiwa na kipato kikubwa huwa na dharau sana. Ndoa nyingi huanza kuwa na migogoro kipato cha mwanamke kikiwa kikubwa kuliko mwanaume. ---------- Kuna mchongo huu hapa kwa watumiaji wa Mtandao wa Airtel. Unapiga *149*91# unapata bando zenye Gharama nafuu. Bando hizo unajiunga...
  6. IT Student

    Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

    Oi, Mimi zawadi yoyote iliyotolewa kwa Nia njema. Ninapokea. Kuna mchongo huu hapa kwa watumiaji wa Mtandao wa Airtel. Unapiga *149*91# unapata bando zenye Gharama nafuu. Bando hizo unajiunga mwenyewe. Ninafurahia sana bando hizi. NB: EPUKA MATAPELI. BANDO HIZO UNAJIUNGA MWENYEWE KWENYE LAINI...
  7. IT Student

    Visa na mikasa kwenye nyumba za kupanga

    Aiseee, kazi kweli kweli
  8. IT Student

    Textra message vs google message

    Signal iko poa sana,,, unaweza kuitumia kama WhatsApp pia kuitumia kama SMS app ya kawaida
  9. IT Student

    Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Nitajuaje kuwa mnaweza kukuza biashara yangu?
  10. IT Student

    Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

    Wanakubali kuverfy account kwa Kadi ya mpiga kura?
  11. IT Student

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Hawa jamaa wameongeza option ya KUHAKIKI NIDA. Hiyo imeakaaje? Kwa nini imeongezwa hiyo option wakati tulihakiki NIDA tulipokuwa tunafungua account za OTEAS? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. IT Student

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    KATIBU MKUU, OFISI YA RAISI-TAMISEMI, MJI WA SERIKALI-MTUMBA S.L.P 1923, DODOMA Sent using Jamii Forums mobile app
  13. IT Student

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ni lazima kuandika zote za Form 4 na Form 6, namba ya mtihani inaadikwa kama ilivyoandikwa kwenye Chet husika mfano hapo inatakiwa iwe S0076-0032 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. IT Student

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Nimefanya TYPING Sent using Jamii Forums mobile app
  15. IT Student

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mfumo naona bado unafunguka vizur muda huu. Kwa ambao hamjakamilisha tumieni fursa hii. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom