Recent content by isungangwanda

  1. I

    JamiiForums Tanzania Shibuda atakuwa ameelewa, kwamba chama ni zaidi ya mtu

    MKWEPA KODI kwahiyo kama China mlipa kodi anapigwa risasi kwa hiyo na Tanzania walupa kodi kuanzia wanaochelewa kulipia motor vehicle wote wapigwe risasi harafu mwakani mkose hata hicho kidogo hizi zitakua akili au matope usiige kunya kwa tembo mtoa post
  2. I

  3. I

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Alipe kwanza kodi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

    Mtoa post umekula maharage ya wapi vile maoni yako ni sawa na mtu anaekubali kutupa kinyesi cha binadamu nje ya makazi yake unapotosha ukweli nyumba zinazovunjwa ni zile zilizojengwa kwenye maeneo hataridhi yaliyokatazwa au sehemu za wazi za kuchezea watoto wa maskini
  5. I

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Tumeshazoea ngonjera zenu daima mbele nyuma mwiko JPM ongeza speed
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

    Mtoa post umekula maharage ya wapi vile acha kzishi kimazoea mtumishi wewe unazani rais hakuwaona hao?,au unazani rais alikulupuka?, mijitu mingine shida tupu:angry:
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya uongozi?

    Humu jamvini kuna watu ukisoma post zao unspata kiungulia kabisaa eti watu wanamchagulia rais mtu wa kumteua kuwa waziri hiki ni kituko live u comedian mwingine shidaaa
  8. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Hamis Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Amana

    Vijiba vya roho vitawaua mlilazimishwa kzchagua ukawa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya JPM kwa Simbachawene

    We mtoa post ni mangapi ktk maisha yako umeweza kukamilisha 100% mtumishi?
  10. I

    JamiiForums Tanzania 'TeamLowassa' ndiyo inayoshughulikiwa, Wapinzani kufuata

    Watu wengine kabla ya kufikiria kutunga habari ya ku post sijui wanakua wamekula maharage ya wapi vile hii post ni utumbo mtupu suala la kutolipa kodi au kukwepa kodi na uhujumu uchumi lina mahusiano gani na itikadi?
  11. I

    JamiiForums Tanzania 'TeamLowassa' ndiyo inayoshughulikiwa, Wapinzani kufuata

    Watu wengine kabla ya kupost sijui wanakua wamekula maharage ya wapi vile
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Ukawa bwana kwa kutokwa na povu sasa mlitaka amteu Dj Mbowe au Sugu
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Nyie UKAWA acheni kuzingua kwanza hamumtambui JPM povu la nini subirini mzee wenu wa ndoto mwaka 2090
  14. I

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    UKAWA mnachekesha sana mtu anatumia misuli mingi pasipo sababu nyie si hamumtambui JPM sasa mapovu ya nini subirini wenu mwaka 2090:shock::yawn:
Back
Top Bottom