Mama Joyce Ndalichako yuko sahihi alipoweka wazi kuwa Tanzania ina watu waliopita mashuleni na vyuoni; haina wasomi.
Aidha, wengi wa watoa mada hawajui wanachokiandika:
1. Kelele za upinzani bungeni huzimwa na za "ndiyooo. . ."
2. Lissu alihusikaje na utayarishaji na utiaji saini mikataba ya...
Mtoa mada anaenadana na jina lake, Jingalao. Unazuga kuwa hujui yanayodaiwa na ZZK.
ZZK ni mwakilishi wa wapiga kura wake wa Kigoma na watanzania. Kazi ya mwakilishi ni ninikwa maoni yako? Ukiulizwa, wewe ni nani na maoni yako yanawakilisha ya akina nani?
1. Sheria ya manunuzi ya umma imekiukwa...
Kubenea anaangukia kwenye kundi la wanasiasa. Upindishaji wa sheria na mamlaka kungembeba. Lakini kwa kuwa ni mbunge wa upinzani sheria itarejea kumnasa. Safi sana.
Nilwahi kuandika kwenye fbkuwa Bashite atawabeba wahalifu wenzake wa kughushi vyeti. Ndicho kinachotokea! Ulimwengu utatushangaa. What message and impact on our education system has been sent to the public.
It is both unbelieva and unforgettable.
Machafuko na hatimaye Mapinduzi ya nchi fulani Kaskazini mwa Afrika yalanza na kijana mmoja mjasiliamali kunyanyaswa na mgambo. Wananchi wakashika silaha. Walikuwa wanasubiri sababu.
Wananchi wenye silaha za jadi, mawe, nk. wakapata ushindi dhidi ya askari wenye silaha za kisasa.
Kua
Mawaziri ktk serikali ya awamu ya nne kuanzisha chama kipya cha siasa ni jambo la heri na halizuiliwi. Ni haki ya Watanzania kikatiba.
Kuanzisha chama ni rahisi ila kukikuza na kukiimarisha ni kazi ngumu sawa na kupanda mlima mrefu kama ilivyoshuhudiwa kwa ACT Wazalendo ya akina ZZK. ACT...
Gimmy's usilete humu fikra zenu mfu. Hilo wazo la kubadilisha katiba ya nchi wengine waliisha liona siku nyingi kuwa litaletwa na utawala na vibaraka wa awamu ya tano.
Uzalendo ni kufuata katiba ya nchi au kuivunja kwa kisingizio cha uongozi bora? Kumbe ndiyo maana mchakato wa Katiba...
Hapa hakuna hoja ya kujadliwa na watu neutural. Aliyeweka hiyo clip ya maktaba ni wazi kuwa amekabidhiwa na wenyewe kazi ya kuwapigania.
Si rahisi mm na ww kuipata hiyo clip kutoka kwenye maktaba ya CCM.
Mwanzoni kulikuwa na slagon ya "Zidumu fikra za mwenyeki (wa ccm)". Wakaja kujikosoa na...
Macro na micro economics za Tanzania zikoje? Mkilijua hilo ndipo mje kutudanganya humu jf.
Kikwete aliwaasa kuwa ". . . ya kuambiwa uchanganye na ya kwako . . ." Nenda mitaani ushuhudie jinsi TRA inavyo-harass wananchi kwa kukimbizana nao hata kwa biashara vyenye mitaji ya chini ya laki moja...
Hayo Mwalimu aliyasema miaka mingi wakati ccm na uongozi wake wangali wanamuogopa na kabla ya matukio ya kutisha kutokea nchini. Hata hivyo siku za mwishoni mwa maisha yake alisikika akisema kwa majuto kuwa ". . . ccm si baba yangu wala si mama yangu . . ." akiwa analaani mwenendo wa chama...
Wachumia tumbo acheni unafiki. Endeleeni kumdanganya rais. Semeni dira ya nchi ni ipi. Kutumbua majipu?kutozingatia utekelezaji wa kibajeti?
Vitisho? Matamko? Au ni kukimbizana na matukio na operesheni: operesheni hewa, operesheni madawa ya kulevya, operesheni tokomeza, nk. ili hali kuna mamlaka...
A sweet coincidence. Magufuguli amemuomba mfalme wa Morocco na akaahidiwa msikiti ambao gharama yake haijafahamika bado. Makonda naye aliahidi kuwajengea waislamu msikiti unaotarajiwa kugharimu 4.5bln/=.
Wakristu tunaamini binadamu hawezi kumhonga mungu. Wanalolifanya akina Makonda ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.