Recent content by issenye

 1. issenye

  Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

  mwenzako mayala alisubiria kwa kusifu na kuabudu hadi jiwe limeyeyuka lakini hakupata kitu
 2. issenye

  CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

  Muulize mama yako, maana jana niliwaona wanaongozana naye
 3. issenye

  CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

  Wananchi hawana huo uhuru wa kuchagua, kama ulisikiliza kauli ya mpango baada ya kuapishwa jana kuhusu uchaguzi wa marudio utakuwa umeligundua hilo.
 4. issenye

  Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

  Kama ulikosa uteuzi wakati wa jiwe pamoja na kujikomba (kuwa chawa) usitegemee kuupata kipindi hiki.
 5. issenye

  Rais Samia, huu wizi wa Tsh Bil. 3.4 kwa Mwaka wa wabunge 19 utaufumbia macho?

  Kwani hizo pesa wanazolipwa hao wabunge ni za chadema au za serikali (kodi iliyolipwa na mnaowaita wanyonge)
 6. issenye

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

  ndio maana nikawaambia kwanini mnashindana na kichaa badala ya kupangua hoja zake?
 7. issenye

  Bulaya: Mafunzo ya kutumia silaha kwa JKT yatolewe kwa Vijana wachache ili kupunguza wanaokosa kazi na kufanya uhalifu

  "UHALIFU NI NINI? Uhalifu ni utendaji wa jambo lolote lililokatazwa kutendwa Kisheria au kwa sheria ndogondogo(By Laws) za Mtaa,Kijiji,Kitongoji,Kata/Shehia, Halmashauri au nchi." Bulaya naye ni mmoja wa wahalifu, aane kwanza kujihukumu yeye
 8. issenye

  Sijaona sababu za TAKUKURU kumshikilia Mkurugenzi TPA

  Walipokuwa wanakamatwa watu ambao sio wa mlengo wenu na sisi tukalalamika mlisema kuwa wakiachiwa wataharibu uchunguzi. Hivyo hivyo kwa kakoko akiachiwa ataharibu uchunguzi
 9. issenye

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

  kwaninimnamhofia mgonjwa wa akili? inachotakiwa ni nyie kuwa tayari kupinga hoja zake kwa evidence na sio matusi kama haya ya kumuita mgonjwa.
 10. issenye

  Hayati Magufuli alifanyia shughuli za Ikulu Chato kwa muda gani baada ya kuapishwa?

  Hukuwahi kumsingizia bali uliwahi kupost story za uongo, swali je ni nani alikuwa anakutuma? Maana katika shutuma zako zote hakuna hata moja ambayo uliweza kuweka ushahidi hadharani
 11. issenye

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aanza kunena kwa lugha

  Hata kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete CCM ndiyo ilikuwa inaunda serikali, lakini hatukuona aina ya RCs na DCs kama wa kipindi cha jiwe.
Top Bottom