Kawaongopee ndugu zako huko hakuna unalolijua wewe kafiriBaada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Unajichosha tu hakuna kitu kama hicho ndugu yangu! Kobazi wa Urambo Tabora huyoNdo hizi habari, source yake ni "trust me brother"?
Ushahidi wa mzayuni kupiga simu upo wapi? Mi naona maneno ya, kanga tu,Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Hawa jamaa uongo na utunzi wake wako vizuri kwa kweli usipokua makini wanakuchota mchana koupeeIla wewe ni mtunzi mzuri.
Huwa mnaanzaga kupongeza hivi lakini Israel ikijibu mapigo mnalalamika kuwa haijali haki za watoto, wanawake, wazee na wagonjwaBaada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
😁😁😁😁 Ile ikifungwa vichwa vya nuke ndio watajua hawajuiHizi hypersonic zina speed kuliko defence systems
wana mungu gani wale? Labda allahIran Mungu awasimamie washinde vita.
Halafu netanyahu ni chizi ,😃😃😃😃Alihisi Iran Ni Gaza 😅😅 Ukiua kwa Upanga Utauliw kwa upanga Farasi mwekundu yuko juu ya Israel kwa sasa
Hadithi yako inatufundisha niiiini mtoto mzuri? TuambieHalafu netanyahu ni chizi ,😃😃😃😃
Iran hawana desturi ya uoga wakati trump ana tawala ktk awamu ya kwanza alimuua general qassem Iran wakasema watajibu mapigo usa akampiga mikwara jibu mapigo uone jamaa wakajibu mapigo kweli Kwa kulipua kambi za jeshi za usa 😃😃
Usa wakafyata mkia wakaona hawajamaa sio wazima kmmk
Mental case hioWe jamaa upewe tuzo ya mtu asiyekuwa na akili zaidi humu jamii forum

️ President Vladimir Putin declines Netanyahu's request to mediate with Iran to halt the conflict.Kuna watu Wana umia sana Leo 😁Mkubwa unajua kuna watu humu wanatamani kufa kwa hii taarifa yako ni either ni ya ukweli au uongo.
Israel kaanza uchokozi mwenyew so acha apondwe tu.