Hajasema wanaiulizia ccm tofauti ccm na JPM, ndio maana Lowassa hakuaminiwa wakati alitoka ccm, kwani kilimuona hafai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameona fedha hizo kupotea wakati Watanzania watapata ujira kutokana na malipo ya uchaguzi huo, mbona hqzungumzii fedha zianazotolewa kama Ruzuku kwa vyama lakini hazifanyi kazi za maendeleo ya wananchi au zenyewe hazitokani na kodi ya wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
1 na 2 zinanihusu, nimewahi kwenda Aghakan Mwanza nikajieleza kuhusu tatizo langu, nilipigwa x-ray lakini doctor alisema hakuona tatizo nikapewa dawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.