Recent content by issantiley

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mhe. Spika, kwanini Bunge lisijibu hoja za Mhe. Tundu Lissu kuhusu gharama za matibabu yake?

    Kwann isiwe chama cha mawakili kulipia gharama za rais wao? Vyeo vyote hivyo kumbe havina pesa!!! Au awaambie barck Mbona nao ni mashositi zake???
  2. I

    JamiiForums Tanzania Babu Seya na mwanaye kurudi gerezani?

    Hovyo kabisa thread ya kipumbavu sana
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tarehe mpya ya kuapishwa kwa Raila Odinga ni 30 Januari

    Raila anabeep aapishwe aone chamoto
  4. I

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Kwa anamtaka rais avunje Sheria ili awe mfano! Huyu mbunge wa chadema kachanganyikiwa anatafuta kiki kwa lazima.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na CCM, Mwenyekiti wa UVCCM ana haki gani kufanya mikutano nchi nzima ila upinzani wao majimboni tu?

    Mmesahau kuwa chama kinatekeleza ilani yake?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na CCM, Mwenyekiti wa UVCCM ana haki gani kufanya mikutano nchi nzima ila upinzani wao majimboni tu?

    Mnalia lia nendeni mahakamani kama mnadhani mnayo haki ya kufanya mikutano acheni vilio humu Jf mnatumalizia chaji
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wakati ripoti ya fedha ikionyesha faida kushuka toka Sh 600bn mpaka 200bn, Zitto ahoji upatikanaji wa gawio la Sh 300bn

    Unakimbilia kutafuta pesa huna lolote mshenzi weye
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atia grisi kwenye uchumi; Kutoa bilioni 200 kulipa madeni ya wafanyakazi na watoa huduma wa ndani

    Namuamini rais wangu hasemi uongo, waongo ni chadema tu madeni tayari yameanza kuhakikiwa serikali ya magufuri inahela tulieni achape kazi hadi chadema wasambaane. ccm oyeeeee!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    •maneno•
  10. I

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Heri ya Mwaka 2018, Huwezi kupata Maendeleo Kama Mtu Haupo Huru

    Haya ndiyo maendeleo ya kweli wewe mpiga diri, ulikuwa unaishi kama malaika kwa ujanja wa kukwepa kodi bilicanas leo unaanza blabla hapa nenda huko!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ahoji upatikanaji Mwenyekiti

    Aache majungu
  12. I

    JamiiForums Tanzania TCRA kushusha kiwango cha gharama za mitandao kutoka sh 26 kwa sekunde hadi sh 2 kwa second? Je hii ni sawa?

    Washushe tu maana matumizi ya simu yanatakiwa kuwa ya kila mtanzania kumudu ili kuboresha mawasiliano ya kibiashara kufikia hatua ya Nchi ya viwanda kwa haraka na kwa watu wa tabaka lote katika Taifa
  13. I

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Huyu Anajulikana tu, alianza kutabir mrema staingia ikulu hadi Leo hana jipya
  14. I

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Sasa nani kamwambia Nchi ni ya chama kimoja? Kwa hiyo rais atubia makosa gani? Wachungaji wa matumbo hao!!
Back
Top Bottom