Recent content by issamkemwema

  1. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Mbuluraaa we hujui kama malipo yanayofanywa na fed ha za serikali hulipwa baada ya kufikisha mzigo?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM kuitekeleza ilani ya UKAWA

    Wanaosema Magufuli kuchukua Sera ya Ukawa wanaumwa akili zao, kiacheni cha chamapinduzi kina hazina kubwa ya wanachama
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Manunuzi ya serikali hufanyika bila cash
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

    Imekula kwenu CAG acha Magufuli awatumbue mJipu
  5. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Rais ni kila kitu tuliza mzuka hapa ni Kazi tu majungu Peleka Ukawa
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Maneno Mengi wala hamna point kwani magufuli anawajua vema kuliko unavyomdhania yy ni mtanzania pia
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

    Hana lolote unachosema ni mahaba kwa mbowe
  8. I

    JamiiForums Tanzania DC amfukuza kazi Mganga wa zamu kwa uzembe kazini baada ya kukataa kumtibu Mtoto wa miezi 6

    MO asitutanie huyo tabibu Hana jipya tuliposema hapa kazivhatukuwa na Utani akatulie na familia yake tuajili mwingine mwenyewe kupenda Kazi
  9. I

    JamiiForums Tanzania Upinzani wamejipatia sifa ya utoto bungeni

    Gamba mwenyewe Ukawa hawana hoja mbele ya watanzania na Jumuiya za kimataifa kwa 7bu Rais aliyekuwa anazindua bunge hakuwa Rais wa Zanzibar hivo Rais Magufuli hakuwa na kosa Hilo ni Bunge litakalo fanya Kazi kuisimamia serikali atakayounda Magufuli siyo Rais wa Zanzibar. So walichofanya ni UTOTO...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    Ukawa wanajidanganya kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar sio wa kwanza hata serikali za mtaa mwaka jana tume walifuta mbona ukawa hawakupiga kelele au kwa sababu urais una masrahi kuliko uenyekiti wa mtaa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Spika na Rais wa Jamhuri ya Muungano mlichokifanya sio sahihi

    Una Mavi ww bungeni so Mahali pa mchezo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Ukawa safari hii somo la hapa Kazi tu mtalielewa
  13. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Wameonyesha uwezo wao Mdogo wa u elewa kwani January hawataingia bungeni kuijadili?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Waache siasa hapa Kazi tu
  15. I

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    Sheria ya Jamhuri ya watu wa Tanzania
Back
Top Bottom