Recent content by issam

  1. issam

    Nyumba inauzwa, Magomeni Mwembechai

    Alikua serious anifate chemba
  2. issam

    Nyumba inauzwa, Magomeni Mwembechai

    Ukitaka Kupata details zaidi piga hio simu hapo, utapata picha zaidi kwenye whatsapp na kila kitu
  3. issam

    Nyumba inauzwa, Magomeni Mwembechai

    Nyumba Inauzwa, magomeni mwembe chai wahi kabla haijanunuliwa Price: TZS 600,000,000 ( Millioni mia sita ) Negotiable: Yes Nyumba Nzuri sana ina tiles na kila kitu, Ina Vyumba 8, jiko 2, Public toilet 3 na master bedroom 2. Nyumba ni kali sana na iko eneo nzuri Magomeni mwembechai. Hakuna...
  4. issam

    Website ya udaku inauzwa, kwa anaetaka kununua website

    Habari wadau wa JF, Ninapenda kuwaataarifu wadau ya kua nauza website yangu kwa mtu atakae. kama unahitaji kunua website ambayo tayari ipo Established na ambayo tayari ina traffic nzuri basi Huu mtandao unakufaa. Mtandao Huu umeanzisha kama miezi 8 iliyopita na sasa tayari unatraffic nzuri na...
  5. issam

    Bidhaa za umeme zinauzwa

    Hellow mdau wa jf, karibu ununue bidhaaa mbali mbali za umeme kutoka kwenye mtandao wetu. bidhaa zinauzwa kwa bei ya offa, so wahi leo Buy Electronics Online
  6. issam

    Blog creating and design!

    Mi nauza website hii http://udakunews.com bei fresh. Hii site news zina jiandika wenyewe hupati tabu ya kuandika. Km utakua interested nifate chemba
  7. issam

    Jinsi ya kuuza na kununua Bidhaa Bure

    Heheheh unaweza
  8. issam

    Jinsi ya kuuza na kununua Bidhaa Bure

    Hellow wadau, Katika pita pita zangu nimekumbana na huu mtandao mpya kabisa yaani ndio umeanza leo wa kuuza na kununua bidhaa, Ingia hapa uanze kuuza na kununua vitu mbali mbali. tupost tangazo ni bure kabisa wahi leo. dalali.net Bofya Neno Dalali.net
  9. issam

    Website ya Udaku inauzwa

    Web iko kwenye offa babkubwa ni $300 tu Bei poa kabisa hata blogspot hupati bei hii.
  10. issam

    Website ya Udaku inauzwa

    kama uko serious nifate chemba
  11. issam

    Website ya Udaku inauzwa

    Natoa offer Mtu aliyekua sharp anataka kununua hii site, ambayo haina kazi za kuandika post wale kuifanya chochote ni 100% automated news zinajiandika wenyewe na pia zina ji index kwenye google na kuji ping kile masaa 2. na kila siku zikizidi inatapa more traffic more fb fans bila ya kufanya...
  12. issam

    Website ya Udaku inauzwa

    Web inauzwa kwa dola mimi siko bongo so sipokei hela za madafu, pia hio hela ndogo sana hata simu ya mchina hupati. ongeza dau nikuulizie nifate chemba kama uko serious
  13. issam

    Bloggers:Swali Kuhusu Domain ya Michuzi Blog!

    Sikwamba anaogopa kupoteza traffic, hata kama utachange domain still si kwamba ile issamichuzi.blogspot itajifunga no, itabakia pale pale na new domain itatumika, so those two domain zitalink sehemu moja. nadhani hajaamua na wala haina umuhimu wa kuchange wakati traffic anayo na hela anaingiza...
  14. issam

    Aisee ile darchat Imekufia wapi?

    Hellow wadau, mimi nilikua mmoja wa wapenzi wa kuchat kwenye ule mtandao wa drchat, wale jamaa sijui wamekufia wapi aisee, tulikua tunaburudika sana mule. kwa wale ambao wameimiss darchat kama mimi BOFYA HAPA kuna chat nyengine imefunguliwa.
  15. issam

    Website ya Udaku inauzwa

    Bei maelewano, kama uko serious nifate chemba
Back
Top Bottom