Recent content by Issa7

  1. I

    Kaninunia yeye mpaka ndugu zake kisa tumeachana!

    Hbr ya asubuh wana JF. Nilikuwa na mpenzi wng,tukaja tukatenga baada ya yeye kuingia chuo tu mwaka wa Kwanzaa, wakati huo mimi ndio nikiwa nimetoka kumaliza chuo wakati akiwa chuo alianza kuwa na tabia zisizoeleweka na kadri nilivyojitaidii kuzungumza nae alikuwa mkalii na ilifika wakat akisema...
  2. I

    Ushauri: Nataka kumuoa msichana mwenye dini tofauti na yangu

    Asanteee mkuuuu Mnaweza kuwa mnapendana lakin swala la dini linaweza wavuruga kabisa. Na kuharibu ndoto zenu. Cha msingi nadhani lazima mkae na bint mjadiliane kwa kina juu ya hatima yenu kuhus swala hilo. Lazima muwe na mutual agrement na kauli moja juu ya hilo. Lazima pande zote mbil...
  3. I

    Ushauri: Nataka kumuoa msichana mwenye dini tofauti na yangu

    Habari ya usiku wana JF, Nina mpenzi wangu wa muda mrefu kidogo na tunapendana tu sana na nimepanga kufanya mipango ya harusi hapo mwakani. Tatizo lililopo sasa ni dini yeye Mkristo na mimi Muislam, na huyu mpenzi wangu ameniomba nisije kufanya maamuzi ambayo yatamuumiza. Mpaka sasa hata...
  4. I

    Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Unataka ushauri gain sasa mwanamke kasheliwa tena umesibitishiwa kwa 100% km a upon tayari kuyapata maradhi ya bure mi nakushauri endelea tu kumpenda uyo dem ili ck nyngne uje na mwngne wa ugonjwa cc tukupe pole kwa wingi
  5. I

    Mapenzi yanauma jamani

    mtu haujamuoa unataka uwe peke yako na sisi unataka tukaponee wapi kwa mfanoooooo
  6. I

    bugando wameshaita watu ktk interview?

    habari za.asubuhi wana JF ningependa kufahamu hivi bugando hospital wameshaita watu kwenda kufanya interview?
  7. I

    Huyu mwanamke kuna wakati namchukia, kuna wakati hali hiyo inaisha

    Hapo awali nilikuwa na mwanamke akanitenda vibaya, miaka ikapita nikapata mwanamke mwingine. Tatizo nililokuwa nalo sasa ni inafika wakati, ninamchukia sana huyu mwanamke wangu, alafu inafika wakati hali hii ya kumchukia inapotea kabisa.
Back
Top Bottom