Recent content by issa3000

  1. issa3000

    Kwanini Serikali inamwogopa Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS?

    Sawa ila nikipata mawazo yako nitaelewa zaidi
  2. issa3000

    Kwanini Serikali inamwogopa Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS?

    Hii kitu inanipa shida Sana pale napoona serikali inaingilia Sana mambo ya TLS, Naomba kujuzwa Wadau
  3. issa3000

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Ni ugonjwa unaosababishwa na nin? Na je unatoka?
  4. issa3000

    Sijui ananipenda huyu!

    Itakucost na wake za watu kwanza unaanza vip kuwaza kupendwa na mtu ambaye Tayari anamme wake? Amka ndugu
Back
Top Bottom