Recent content by Issa Daudi

  1. Issa Daudi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kasulu mjin nije babat arusha mosh au tanga.idara ya sec
  2. Issa Daudi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kasulu nije babat korogwe au dodoma idara ya sec
  3. Issa Daudi

    Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

    acha uoga wa kijinga,hapa amechanganya nn? Mbona wanaposifia viongoz hamsem? Wakikosoa mfumo mchaf ndo mnaona? Walisema rais jmk ni mteule wa mungu hamkuona mlilala? Kusifia na kukosoa ni kaz yao pia
  4. Issa Daudi

    Kuna haja ya aina tatu za kura ktk kupigia katiba pendekezwa

    NDUGU WADAU NAPENDA KUTOA PENDEKEZO LA MAJIBU MATATU WAKATI WAKUPIGA KURA,NDIO,hapana na sijui.majibu ya yapana na sijui ya kiwa mengi inatakiwa elimu irudiwe kisha tupige kura tena yakirudia tena mchakato uwe batil
  5. Issa Daudi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kasulu nje babat,dodoma,au korogwe mji
  6. Issa Daudi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kasulu mjin nije babati mji idara ya sec
  7. Issa Daudi

    Maandamano ya Kumuunga mkono Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar

    MTWA Tanzania bado sana,tunafikiria juu juu tu vijana hamna kitu; 1.tuna mjadili mwanasheria wa zanzibar badala ya kujadili mapungufu ya ibara alizozikataa-huu ni ujinga lakini pia hizo ibara zilikuwa zinamadhara kwa nan? angesema ndio angekuwa na shida gani? 2;kama tz ni nchi kidemokrasia...
  8. Issa Daudi

    Makosa waliyofanya Wapinzani kwenye Mchakato wa Katiba

    Annael udogo unakusumbua!,nilishasema vijana wa siku hiz mnafikir juujuu tu; 1.kuhusu ukawa kutoka nje ya bunge ukawa bado walikuwa sahihi kwa maana kuwa hata kama ungejumlisha idadi yao wakat wakupiga kura wangeshindwa kwa kura kutokana uchache wao hivyo waliona mbali hawkutaka rasimu mbov...
  9. Issa Daudi

    Hivi ile tume ya mishahara (salaries and remunerations commission) ipo kwenye rasimu ya katiba?

    BUCHANAN NIMEKUSOMA KILA KONA NIENDAYO,HUNA MASHIKO YA HOJA,HUNA UWEZO wa kutafakari kwa kina ndo maana unamuattack mtu badala ya hoja;any way mdau kauliza swali suala la ukawa linakujaje? kwa taarifa yako yey ni mwanachama mwenzako.usilewe chama
  10. Issa Daudi

    Endapo Katiba Inayopendekezwa Itakataliwa

    BUCHANAN hakuna thread unayotoa yenye mrengo mzur kila wakat upo biased,kwanza nikufahamishe kuwa hoja ya katiba mpya ililetwa na upinzan na zaid ya 75% ya ccm walikataa rais akatumia busara zake sasa unaposema kuwa CHADEMA hawataki katiba mpya sikuelewi kabisa.Pia unapotaja masuala ya matokeo...
  11. Issa Daudi

    Hili la Zakhia Meghji kupiga kura upande wa Zanzibar linaongeza chumvi kwenye kidonda

    NOTRADAM bado nakuona kama mpumbavu tu,shule haijakusaidia maana mabadiliko hayaletwi na wapinzan(petty bourgeoisie)bali tabaka kandamizwa kazi ya wapinzan ni kuamsha utashi wa umma halaf baada ya utash ni kuchukua hatua sahihi.sasa umeshindwa kutofautisha katiba na siasa pia unaushabiki sio...
  12. Issa Daudi

    Well done Kubenea-Bunge Maalum la Katiba halina Mamlaka

    mnalewa mitandao halafu mnajisahau mnaongea mambo bila uthibitisho,mkikamatwa mkifunguliwa kesi mnalalamika,chadema wanaandamana kubenea anatumia njia ambayo wengi wanaikubali bado mnasema anatumwa? Sisi watz bado sana uwezo wetu wa kupambanua mambo ni mdogo sana,mwache anayejua namna ya...
  13. Issa Daudi

    Chenge Afunika Rasimu ya katiba pendekezwa

    USISIFIE KABLA YA KUISOMA RASIMU USIWE MLEVI WA MANENO TU,LOBENGULA ALIDANGANYWA KWA MANENO MAANDISHI YAKAWA TOFAUTI AKAIKABIDHI ZIMBAWE KWA WAKOLON.NAKUSHAUR WASIKILIZE WATAALAM WASIO WANASIASA,maana hawana ushabiki
  14. Issa Daudi

    Kwa upepo huu, CCM wanaongoza bao 3 UKAWA 0, Tupo kipindi cha Pili dakika ya 80 kama sikosei

    katiba sio Mali ya ukawa wala ccm. kusema 3-0 maana yake ni kuweka ushabiki kwenye KATIBA.CARL MARX SAID THAT NEITHER PETTY BOURGEOISIE NOR BOURGEOISIE WILL BRING A TRUE REVOLUTION RATHER THE JOINT EFFORTS OF THE OPPRESSED ONES. NINAIMAN NIMEELEWEKA
Back
Top Bottom