Recent content by Israel

  1. I

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kiroho

    Habari wadau,iv iz elimu za kusoma nyota ,kuangalia kiganja cha mkono ni sahihi au ni za upande wa giza?maana wengine wanasema sio za giza ila unaweza kuzitumia vizuri,dhambi ni pale unapotumia kudhuru watu,kuloga n.k
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mkuu habari,mimi nimekuandikia sms muda mrefu lakini hujajib. Nilisoma nakala yako nikakuambia naomba msaada na mimi kuhusu izo biashara.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Naulizia tensioner ya mazda demio 2005/7 pamoja na shockup za mbele mbili
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Mfumo nadhan haupo sawa,wakati mwingine unasave changes na wakati mwingine hausave.Pole sana mkuu,lakini watu wengi wamepata hii scenario wakisikiliza watajirekebisha na kuwaita,ndio maana wakati mwingine unaona kuna majina yameongezwa kwa ajili ya kufanya interview.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Habari mkuu nahitaji mchongo,ahsante kwa makala yako uliyoandika.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze mwenye kufahamu kampuni ya Norplan katika ufanyaji kazi

    Ahsante sana mkuu,ubarikiwe.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze mwenye kufahamu kampuni ya Norplan katika ufanyaji kazi

    Wakuu naomba mnijuze mwenye kufaham kampuni ya Norplan katika ufanyaji kazi,benefits na mishahara na culture yao. Ahsanteni
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Pole sana maskini wa fikra
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Pole sana maana nilishakula shavu lkn unamawazo ya kimaskini sana.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Vipi majina ya waliofanya Oral interview (October -2020) eGA kupitia UTUMISHI yameshatoka?

    Mkuu naona wametoa majina.unaweza angalia hapa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Pole sana maskini wa mawazo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Pole sana maskini wa fikra
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Mkuu una akili sana.ndio maana wengi nilikuwa nawaambia pole maana hawajui waongealo na hawajui niko wapi sasa.Hii thread ni kwa manufaa ya wenye uelewa na ndio wanaoweza kupokea ujumbe huu na kuwa chanya katika kuelewesha.JF ni sehem ya kujifunza na kupata taarifa sahihi japo sio wote wafanya...
Back
Top Bottom