Recent content by isotope

  1. I

    Watangaza nia CCM wameisha?,mbona naona CHADEMA imeanza kurudi katika ubora wake

    Ikiwa chama hakijui idadi ya wanachama wake hadi kiitishe sensa, tukiite chama cha siasa au saccoss inayotumia ujarisiasiasa?
  2. I

    GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Kosa la kupiga kampeni kwa kisingizio cha kutangania na kutafuta wadhamini mara hii halitamwacha salama! Kwenye kapu hilo wapo wote waliotangaza nia kwa kufanya kampeni labda Makongoro tu ndo anaweza salmika, ila ENL, MLN, MPM, JYM,BCM,WN, FTS na SMW wote manzi ga nyanza! wote lazima wapate...
  3. I

    Utitiri wa watangaza nia CCM, ni kielelezo cha wigo mpana wa Demokrasia CCM, au Udhaifu wa Kikwete

    Mimi naona wahariri wako sawa kabisa,...Ni rahisi kurekebisha makosa yatokanayo na BVR ila si rahisi kurekebisha makosa ya rais mbovu aliyepita kinyemela hadi kufikia nafasi hiyo urais...! Kupitia hoja za watia nia, huenda wananchi watatambua kuwa si kila king'aacho ni dhahabu!
  4. I

    Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

    Maneno huumba, dawa tuandae mechi moja ya kirafiki na timu yoyote, tukiifunga tumlazimishe R/M/JMT/ Mwinyi atamke hadharani kuwa Tanzania is no longer and will never be kichwa cha mwendawazimu any more... Inabidi tufanye haraka maana jamaa keshagonga 90..!
  5. I

    Hawa ndio vibaraka wa Edward Lowasa miongoni mwa waliochukua fomu kuomba ridhaa ya CCM urais 2015

    Ondoa hii mitu mapema, Ikulu siyo wodi ya wagonjwa..(by Lusinde)
  6. I

    RFA, kipindi hiki kina kasoro

    Kuna siku watakutana na watu waliopinda wawafungulie kesi za madai ya kuchafuliwa majina, hapo ndo akili zao zitapata akili..!
  7. I

    Baada ya Jaji Augustino Ramadhani kukana kiapo chake, Kanisa la Anglicana TZ litoe ufafanuzi

    Naona ccm wanawaiga cdm, kama wenzo walivyokiuka ukomo wa muda wa mwenyekiti, hao wanajiandaa kukiuka muda wa uanachama..! Hizi katiba zinawabana wasiotakiwa tu, utafikiri ni mchezo wa TFF na michael wambura!
  8. I

    BAVICHA Wamzima Nape Na Kinana Bukombe

    Chademakwanza Siku wakihoji ruzuku tu, mtasikia wasaliti..., masalia n kila jina baya!
  9. I

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu atuhumiwa kufisadi Tsh. 95ml

    Kumbe kila aliyeko kwa lowas ana maslahi binafsi moyoni mwake...!
  10. I

    CCM yapewa angalizo, zamu kwa zamu urais 2015

    Hakuna cha zamu hapa, sisi sote ni sawa, tupambane kwa usawa..!
  11. I

    CCM yapewa angalizo, zamu kwa zamu urais 2015

    Subirini baada ya mimi kuwa rais ndo muurasmishe, mi mkristo nitagombea 2025 panapomajaliwa...muda huo sitakubali kusikia eti ni zamu ya muislam.
  12. I

    Kwa UKAWA tu

    Hicho ndo kinaitwa kiherehere, waliounda UKAWA wako kimya wanajua muda watakapo tangaza kukubaliana kutokubalina, eti nyie mnajifanya kuwashauri. Dalili za mvua ni mawingu, nyie mlioweka tegemeo lenu ukawa mtageuka wakiwa.
  13. I

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Jaji anaua bendi eeh? Hiyo ya 2010 jumlisha na ile toka mwaka 1966 hadi 1992 baada ya vyama vingi..!
  14. I

    Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

    Kweli jogoo akizeeka anataga yai..! Katibu (wa kuteuliwa) anataka kumburuza mwenyekiti wake (wakuchaguliwa)?
Back
Top Bottom