Recent content by isota

  1. I

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Mkuu embu tupe dondoo Equity mokopo yake ikoje kwa si wajasiriamali? Naweza kopa kuanzia ngapi hadi ngapi? Riba ikoje? Na kwa muda gani?
  2. I

    FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!?

    Wanajamii nasukuru kwa kumwelimisha huyu jamaa aliyekuja na hii topic ya uongo, mi ninawashkaji watatu wanafanya kazi pale FINCA na kati yao wawili wana first class sasa iweje hawa hawakuwaogopa? Kama wengi walivyosema issu ya ajira inavigezo vingi na kila kampuni inavitu vyake vya kuangalia...
Back
Top Bottom