Katiba ni sheria mama kanuni na miongozo yote lazima iendane na kayiba kama kanuni zitakizana na katiba basi hizo kanuni zinakuwa batili. Faru kakosea kumuita cag.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru tumemuokoa binadamu mwezetu baada ya saa 48. Bila shaka unaona umuhimu wa kuendelea na Nazi ya uokozi usiku kucha. Acha siasa ndugu ubinadamu kwanza
Watesi wa Kristo walisadiki kuwa mwisho wa Kristo ni msalabani na kaburini. Mambo yakawa tofauti kabisa sote tunafahamu.Yatupasa kutambua tu dunia ili kumtumikie Mungu na ndiye anayetoa na kutwaa uhai wetu. Kwa risasi zile walitaka kuidhihirishia dunia kwamba democrasia imeshindwa Tz .Kumbe...
Kila la kheri uendako. Taifa linapoteza fedha Nyingi sana kugharamia uchaguzi usio na tija kwa watanzania. Tunatamani fedha zielekezwe kwenye huduma za jamii kuliko kuendelea upumbafu huu. Hakuna democrasia isyo na mipaka. Tumemsikia Jiwe akisema angewafukuza wabunge wa mikoa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.