Tena kwa karne hizi, huu ujumbe na wote waliotajwa utaprvail miaka mingine zaidi ya 1000nimejikuta machozi yanadondoka yenyewe tu baada ya kusoma ujumbe huu wa huyu hero wetu.
naomba tu Mungu ampe moyo wa kusamehe - yeye na ukoo wake - ili kuepusha vendetta ambayo tone yake nimeihisi kwenye ujumbe huu.
kwa upande mweninge, wale waliofanya unyama huu wajitokeze hadharani na kuomba msamaha wa dhati!
ushauri wangu:
ujumbe huu - kama bado - ufanyiwe tafsiri kwenda Kiingereza na Kifaransa ili audiences mbalimbali across the planet ziusome na kuuelewa.