Recent content by Ismaty

  1. I

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Saiv humu mmepageuza paumbea umbea tuuu...hamna jipyaa..sasaiv tushawachoka hamna hoja mnaudaku tuu simkaandike magazet ya udaku mpate ulaji....mfyuuuuuuuuu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Ww ndo mwalim wake maaana haya uloyaandika yoote haya ukwel kabisaaaa.....mtatapatapaaa wee hadi mdumbukie choon wapiga kura washamkubali we endelea kuandika humu tuu kwanza hawaon na wakiona watakuona chizi....R.I.P KIJANA
  3. I

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    hyo rushwa rushwa rushwa mbona hamsemi wapi na lini alitoa hyo rushwaa??mmeshakosa njia mnaanza kuingiza uislam kwenye hili jambo!!!waislam tuacheni tunafunga msitupandikize chuki na lowassa tunamkubal na katka funga zetu pia tunamuombea kwa allah amfanyie kila lenye wepesi na amuepushie nyie...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    kabla hujaandika angalia na huu ni mwezi wa ramadhan kama ww ni muislam acha kuandika uwongoo.....hajaitwa mtu muhammad....acha kuongopa ww...ila nina uhakika ww sio muislam ndo maana unaandika uwongo mwezi wote huu....allah atawaangaza na uongo wenu woote....
  5. I

    JamiiForums Tanzania CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    Kama ww unavyojitoa ufaham kuandika usichokijua...mmeshazowea kupokea hela kwahyo mnaona kila mtu kama nyie....watu hawana njaa ya pesa nikumkubali nakujitoaa....
  6. I

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Kakuibia ww nanani???kama haupendi umaskin unataka aseme anaupenda???hajasema anawapa pesa wakat unaandika uwe unaangalia unachoandika.....lowassa ndo chaguo la wapiga kura sio chaguo la piga lomo..anakubalika kwa wapiga kura baaaasi ww kama hutaki polee
  7. I

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Lowassa yanatisha!

    Ujinga wako ndo umaskini wako.....umekaa chini unaandika yasiokua na akili...sasa unaanzisha vita na matajir ambao sidhan kama unawapata hata kwa theluthi ya pesa zao.....hebu kabla hujaandika na kupost kwanza fikiria...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wakati makada wa CCM waliotangaza nia wakiiteka nchi, Edward Lowassa aongoza kwa kuanguka

    Hatuwezi kuvunjika moyo kwa maandishi yenu...mlianza kwakusema ni mwizi hawezi kuongoza nchii ataiba sana na mengi kibao mmeona wananchi hawana habar sasa mmehamia katka maradhi ohoo mgonjwa alishindwa kupanda jukwaan awezi kukimbia yoote mtamaliza...sasa baada ya maradhi sijui mtaingia na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Safari ya matumaini inaendelea.......lowassa oyee
  10. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    tandale
  11. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Sema hivi hapo mnajadili uongo sio muhimu vitu muhimu haviwi vya uwongoo katuu......weka ukwel juu ya meza
  12. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Nkueleze sasaa....ilijione ww nimuongo wa dunia nzima....lowassa yy hahusiki na form za wadhamin kabisaaa makatib wao ndo wanatafuta wadhamin tena walio na kadi za ccm...lowassa yy akienda wanamkadhi anaondoka....unapose kakupa chako mapema unachekesha hadi machiziii pyeeeeeee......huna hayaaa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Unapoona mwenzio anakuboa basi jua ww unaboa mara 100k.....kama hamna chakuweka JF simuandike historia za familia zenu....maana mnapotosha jamii tuu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Hahahaaaaa!!unahitaji nishani ya uongo kijana ww kah!!hata haya huoni basi hata jiran yako hana haya ukasema umgezee....umekaa kabisaa chini unaandika uwongo kijana kijana kijana hebu andika ukweli na mwezi huu mrukufu kah!!LOL 😃😃😃😃😃
  15. I

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Vivaaaa lowassa vivaaaa
Back
Top Bottom