Recent content by Ismailsimba

  1. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuboreshe Upatikanaji wa Vitendeakazi vya Teknolojia na Digitali kuongeza Pato la Taifa

    Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k. Tuangalie kijana ambaye...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nimeguswa sana na maoni ya wanaJF kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Kama tulivyompa nafasi Magufuli, tumpe nafasi Samia. Hata matanga hayajaisha hujaanza kulalama? Huo sio Utanzania. Kama tulivyomkosoa Magufuli alipokosea, Samia nae tutamkosoa, akikosea. Sio kabla.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

    Unaweza kutuambia ni sheria zipi au vifungu vipi vya katiba ambavyo Tundu Lissu, Mange Kimambi na hao wengine umewataja wamevikiuka paka kuitwa wasaliti? Au ni kwamba Mtanzania yoyote ambaye hakubaliani nawe ni msaliti?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

    Kwa hiyo tukiuana waafrika kwa waafrika au wazungu kwa wazungu inakuwa sio ukatili? Na kurekebisha, wapo wazungu waliokufa kwenye mauaji ya Rwanda, kuanzia mapadri paka wanajeshi wa umoja wa mataifa.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

    Mi naomba nitoe mfano mauaji ya kimbari ya Rwanda. Ingawa yalikuwa ni waafrika kwa waafrika, yalionyesha kuwa tuna uwezo wa kutenda ukatili kama unaotendwa na wazungu. Sijui nani ni mkatili zaidi, pointi yangu ni kwamba; ukatili hauchagui rangi, kuna watu weusi makatili, kuna watu weupe...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

    Sasa, pengine sisi ni wakatili kuliko wao ndo maana wakawa wanatufanyia hivyo vitu.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa amani DIT- Dar es Salaam Institute of Technology. june 2

    Maelezo yote yaliyopo hapa kuhusiana na mgomo ni ya upande mmoja tu,kabla hamjatoa judgement ni bora mngeongea na pande zote. Maana wote wana mapungufu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania 10 innovations that changed the world

    awesome
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi desemba 2013

    tatizo mi ckuwa na reseller kuna m2 alininunulia. Ila hawa jamaa naona gharama zao zinaridhisha, ntanunua nikienda likizo
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi desemba 2013

    nimekuwa ni ki-browse kutafuta ufumbuzi, maana hata ile ahuweni ya usiku sasa wana-ilimit, kuna hii moja nimesikia inaitwa IPVanish, naombeni mnipe ushauri kama ina faa hapa tanzania.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani mwenye product key za window 7 ultimate

    removal wat majanga, bora windows loader
  12. I

    JamiiForums Tanzania kudownload high quality movies

    two words : torrenting, yify
  13. I

    JamiiForums Tanzania Get all the help you need

    Pay to get helped with technical issues, research, homework, graphic design, web design. Just click the link https://www.likeplum.com/ask?affiliate=13706
  14. I

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ajali Na Bac Desemba

    Naombeni kujua kama imeanza kufanya kazi tena au kama kuna alternative. Pia naombeni kujua kama kuna njia mbadala kwa simu za android
  15. I

    JamiiForums Tanzania Google introduced chromecast

    ever heard of Nokia wireless music receiver?
Back
Top Bottom