Recent content by Isma le ibuh

  1. Isma le ibuh

    Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    We mh emnijuze vizuri hii habari
  2. Isma le ibuh

    Natafuta kazi, mimi ni mpishi ninayeweza kupika vyakula aina lukuki

    Naitwa Hussein Suleman ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nina taaluma ya upishi najua kupika vyakula kama Wali, pilau, biriani, mandi, ugali, makange, chips, makande, ndizi rost pia za nazi Pia nina ujuzi wa kuandaaa michuzi pamoja na roast za aina yeyote ile ya mboga kana vile roast samaki...
  3. Isma le ibuh

    Mchoma chips mtaalamu wa kiwango anahitajika

    nipo hapa mtaalam 0692014483 0767959073
  4. Isma le ibuh

    Natafuta kazi ya upishi

    yeah naweza 0692014483 0767959073
  5. Isma le ibuh

    Natafuta kazi ya upishi

    bado sijapata
  6. Isma le ibuh

    NATAFUTA KAZI YA UPISHI

    mm nipo 0692014483. 0767959073
  7. Isma le ibuh

    NATAFUTA KAZI YA UPISHI

    mm nipo dar natafuta kazi ya upishi najua kupika vyakula Aina zote 0692014483 Voda 0767959073
  8. Isma le ibuh

    Natafuta kazi ya upishi

    mkuu bado sijapata
  9. Isma le ibuh

    Natafuta kazi ya upishi

    bado mkuu sijapat
  10. Isma le ibuh

    Natafuta mtu wa kuingia naye ubia wa biashara

    hapo ni mgahawa na hotel mkubwa
  11. Isma le ibuh

    Natafuta mtu wa kuingia naye ubia wa biashara

    Write your reply...mwekezaji katika biashara
  12. Isma le ibuh

    Natafuta mtu wa kuingia naye ubia wa biashara

    Me ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina certficet ya Planning Management natafuta mdhamini katika biashara ya uuzaji vyakula aina zote, pia ninauwezo wa Marketing ninaujuzi wa kupika vyakula aina zote. > Mdhamini atapata robo tatu ya faida itakayo patikana kwa mujibu wa mkataba tutakao...
  13. Isma le ibuh

    Natafuta mdhamini katika biashara ya uuzaji wa vyakula aina zote

    Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina certficate ya planing management natafu mdhamini katika biashara ya uuzaji wa vyakula aina zote,nataaluma ya kupika vyakula aina yote na nina uwezo wa maketing. mdhamin atapata robo tatu ya faida inayopatikana kwa mujibu wa mkataba tutakao andikiana kwa...
Back
Top Bottom