Recent content by ISLETS

  1. ISLETS

    Je, umewahi kufikiria kujiua?

    hili tuliache kwanza.
  2. ISLETS

    JamiiForums Usiku wa manane

    04:48 AM
  3. ISLETS

    Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

    Mkuu Dodoma mjini kuna Guest houses na lodges nyingi sana tena sana, na zinajaa mapema. Sema nyingi ni low standard za 20 - 25k, chache ndio zinaenda juu ya hapo, halafu cha ajabu sasa hizo za juu ndio zinawahi kujaa. Za vichochoroni za 10-15k ni kama zile za buku 5 Manzese, mbaya kweli kweli...
  4. ISLETS

    Hivi CHADEMA mngetoa wapi mawaziri ile 2015?

    Picha kamili tutaliona mwakani kwenye kusimamisha wagombea. Sio mbali.
  5. ISLETS

    Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

    Nilikuwa na shida isiyo na ulazima wa kufika kule, ila nikaona si vibaya nikatembelee maeneo muhimu kama yale.
  6. ISLETS

    Siku wakija kumshtukia kwamba ni fraud, hawataamini!

    Kwa hiyo unamsema Mh. Mbowe au
  7. ISLETS

    Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

    Huku panakoitwa mji wa serikali pako ukiwa kweli kweli, hakuna huduma za kijamii. Bado ziara inaendelea.
  8. ISLETS

    Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

    Shukrani mkuu. Hivi chamwino ni wilaya nyingine kabisa kutoka hapa mjini au mtu unaweza kwenda na kurudi siku hiyohiyo?
  9. ISLETS

    Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

    Heshima kwenu. Kwa wenyeji wa Dodoma, mgeni nipo hapa. Naomba kufahamiswa namna ya kufika mji mpya wa serikali - Mtumba kutokea maeneo ya Sabasaba hapa, kujua umbali na aina ya usafiri ulio rahisi kufika. Pia nauliza kama Wizara zote zimehamia hayo maeneo au bado kuna Wizara zinafanyia kazi...
  10. ISLETS

    Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

    ndio yaliyonikuta, saa 2 usiku nilitembea lodge kama 7 zote zimejaa, mji huu sijui unajazwa na watu gani
  11. ISLETS

    Mungu ambariki Abiudi Misholi

    Nyimbo zake nzuri kwa afya ya moyo.
  12. ISLETS

    Kilichomkuta mchungaji huyu kiwe funzo

    Though wachungaji wa siku hizi ni matapeli, lakini hata angekuwa Mtumishi wa Mungu kwelikweli bado kuna uwezekano wa kuomba jambo na lisitokee vile tunavyotarajia maana Mungu hajibu kwa kufuata matakwa wa mwanadamu, anajibu kwa wakati wake, kwa wakati sahihi, kwa namna anayoona inafaa. Mfano...
Back
Top Bottom