ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
Heshima kwenu.
Kwa wenyeji wa Dodoma, mgeni nipo hapa. Naomba kufahamiswa namna ya kufika mji mpya wa serikali - Mtumba kutokea maeneo ya Sabasaba hapa, kujua umbali na aina ya usafiri ulio rahisi kufika.
Pia nauliza kama Wizara zote zimehamia hayo maeneo au bado kuna Wizara zinafanyia kazi UDOM?
Mgeni wenu nipo siku ya 4 leo, jiji limekuwa busy na kasi sana katika ukuaji, hongereni.