Recent content by ISHUNGISA

  1. I

    waombaji wa vyuo vya afya

    Poa wadau naamni majina hayo yakitoka tutajulishana tu nashukuru kwa ushirikiano wenu
  2. I

    waombaji wa vyuo vya afya

    Wadau wa JF, naomba kuwaulizeni kuhusu waombaji wa vyuo vya afya kupitia tangazo la serikali la wizara ya afya na usitawi wa jamii. watu tulituma maombi siku nyingi lakini naona hakuna majibu. Kuna mtu kaniaambia kuwa majina hayo yametoka lakini nimetafuta kwenye website ya wizara ambayo ni...
  3. I

    Udom udom udom,why?

    hivi udom wanatoa lini make wadau wengine tayari wanajua ni wapi wanaenda
  4. I

    Hayawi hayawi.....Hatimaye TCU yafanya kweli!......

    naona wadau watakuwa wanashangilia nauliza kama kuna mtu anajua link ya watu waliochaguliwa udom anijulishe wadau
  5. I

    CCM yapeleka wananchi jehanamu tafakari mtanzania

    Watanzania wenzangu ni mwisho wa mwaka wenye purukushani nyingi lakini lazima tuweze kufanya tafakari ya mambo machache ya msingi na yenye tija kwa taifa. Nimekuwa nikifuatilia vizuri siasa ya nchi yetu na hatimaye kuna mambo mengi yanaendelea, jambo ambalo naona wananchi wanapelekwa jehanamu...
  6. I

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Nape naamini we ni kiongozi japo unaongoza serikali yenye misingi mibovu ya utendaji kazi. suala la kumpongeza Lema kisiasa ni nzuri lakini kwa undani wake wewe unatoa kejeli na ni unafiki. unajua nashangaa mtu msomi unakumbatia dhana za ujima as if watu hawajasoma.kaeni fikirini mnaharibu fedha...
  7. I

    CHADEMA, Vipi Tuuboreshe Muungano?

    Mi naona siasa yetu ndiyo ittakayoondoa muungano viongozi wababaishaji
Back
Top Bottom