Hahaha umenikumbusha mbali saana ,
Enz naanza maisha niliwah kwenda kw bingwa mmoja ila mapigo yake ctayasahau mpaka naondoka dunian.
Jamaa alkua na kibuyu anakiulza swali kinatoa majibu kw mlio kama mluzi hvi Kisha jamaa anatafsri huo mlio,
Ila hamna chochote nilcho fanikiawa mpaka nikagundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.