Recent content by Ishmael2012

  1. Ishmael2012

    Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Hata maduka ya kawaida ya asili sidhani kama wanayo,wewe nenda kwenye maduka wanayouza mafuta ya kupaka mwilini ulizia parachute coconut oil
  2. Ishmael2012

    Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Tafuta mafuta ya nazi aina ya parachute ,baada ya siku tatu njoo ulete mrejesho, bei yake haizidi elfu 3🤔
  3. Ishmael2012

    TANAPA wametoa ajira za kumwaga

    Umri mwisho 25yrs, wakati huohuo leseni class C inatolewa kuanzia 30yrs +....😄
  4. Ishmael2012

    TANAPA wametoa ajira za kumwaga

    Hapo sasa😁
  5. Ishmael2012

    Wiki ya pili sasa Serikali imefungia elution machine Chunya hali inazidi kuwa mbaya

    Elution zipo nyingi na zimefungwa kasoro moja tuu ya mdimi nayo nikwakua anachoma mizigo yake tuu Kuhusu kutumia elution ya mussa kila mtu na chaguo lake binafsi sichomei hapo kwani kuna takribani elution machine 20+
  6. Ishmael2012

    Wiki ya pili sasa Serikali imefungia elution machine Chunya hali inazidi kuwa mbaya

    Ni balaa mkuu yani hapa mpaka kazi tumesimamisha kwani hatujui ni nani wa kuamua hatma yetu
  7. Ishmael2012

    Wiki ya pili sasa Serikali imefungia elution machine Chunya hali inazidi kuwa mbaya

    Habari za majukumu ndugu wanajamii forum, nijikite kwenye mada husika hapo juu ni hivi,takribani wiki ya pili sasa serikali kupitia wizara ya madini imefungia elution machine mjini chunya. Kwanza kwa wale wasioelewa elution machine ni mitambo inayotumika kuchoma carbon baada ya kuvuna dhahabu...
Back
Top Bottom