Recent content by ISHEBASHAIJA

  1. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Masandarusi hayakubebwa toka Standard Chartered Bank. Zilichotwa Stanbic muwe mna soma na kuelewa. Standard Chartered and Stanbic are two different BANKS.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Umeona tusivyo na waandishi wa habari makini. Hii ni aibu kwa taaluma ya habari Tanzania. Benki ni Stanbic huku wanaandika Standard Chartered hili ni kosa kubwa wanaweza kushtakiwa
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Kwa hiyo sio Standard Chartered Bank Tanzania - ni Stanbic Bank. clarity please
  4. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Ametaja kuchafua wabaya wake na kuficha wabia wake. Hana lolote huyo
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Hakuna kitu hapo mpira umeshawekwa kwapani
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Hakuna benki ambayo naiamini kwa usalama kama standard chartered Bank. Hawa jamaa wako vizuri ktk control, na compliance. Ruge atakuja kuaibika. Naona maelezo yote ya Rugemalira ni kulalamika lakini aseme waliochota hela BOT ni nani na walipitishia Bank gani. Mbona hatuoni mahali hizo pesa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    hawawezi ni kuchafuana tu. Mgogoro huo ni standard chartered Malesia/ Hong kong na sio tanzania. na pia angesema aloenda kutoa hela BOT ktk mfuko wa Escrow mbona hatukuiona SCB popote? Ruge mfa maji tu kashakaa kibra huyo hana namna lazima a RIP
  8. I

    JamiiForums Tanzania Siyo kweli ya kwamba viongozi wote wa CCM wanatoka kanda ya ziwa

    nadhani inependeza zaidi kama ungetupa orodha ya wateule wote wa mkulu ana mahali watokapo na pia orodha ya waliotumbuliwa na mahali watokapo hapo ningelikuelewa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanyiwa upasuaji wa 18

    Lissu utapona na kurudi katika hali yako njema kwa jina kuu lipitalo majina yote - kwa jina la YESU KRISTO Mwana wa Mungu aliye hai
  10. I

    JamiiForums Tanzania Spika awauliza mawaziri kwa nini wanapeleka miradi kwa wapinzani wakati hawaungi mkono bajeti

    Kwani hizo pesa ni za nani si tunalipa sisi akili ndogo
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

    Naona imemuingia na itakuwa chakula kimebaki na kuwadodea. Nimegundua mnafiki hana umri wala jinsia
  12. I

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni Boniface Jacob ameachiwa kwa dhamana muda huu baadaye kushikiliwa kwa amri ya Dc

    Viongozi wa awamu hii nia aibu I am speechless
  13. I

    JamiiForums Tanzania Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

    Najisikia kuipenda nchi yangu sana na kuiombea. najisikia kuichukia serikali yangu hata kuiombea siwezi Ee Mwenyezi Mungu nisaidie
  14. I

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mikataba ya Madini, Wapinzani wasipuuzwe kabisa

    Nashukuru kumpata mtu wa pili toka huko maana hapo mwanzo nilikuwa namwona Bashe tu angalau sasa kapata msaidizi. Asante Nape kwa kuokoka. Mungu akubariki sana.
Back
Top Bottom