Recent content by Isayasitemanager

  1. Isayasitemanager

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nimekuelewa mkuu, ila kwenye imani sio kweli hiz brand kubwa zinafanya kaz unajua kuna muda unaweza skiliza wimbo kifaa chako ukienda kuskiliza kwakutumia brand nyingine usikivu unabadilika test tofaut
  2. Isayasitemanager

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mimi natakuka kujua, kipi kipimo cha systim sound bora? Unaipima kwa kuskiliza au kuna specification zake? Lakin pia naonaga kuna vitu kama FREEQUENCY, DB, POWER OUTPUT, hivi vina maana gani haswa? Pia hua naskiliza music kupitia sony homtheatre na sipiano pia ninayo swali kwann hua nikiskiliza...
  3. Isayasitemanager

    BLUETOOTH CONNECTION TO THE HOMETHEATRE

    Asante mkuu nimekuelewa mno
  4. Isayasitemanager

    BLUETOOTH CONNECTION TO THE HOMETHEATRE

    Panasonic za mwanzo kabisa
  5. Isayasitemanager

    BLUETOOTH CONNECTION TO THE HOMETHEATRE

    Habari wadau wa j4, naomba kuuliza jambo kuuzu hii kitu inayoitwa bluetooth. InFahamika kwamba computer kama haina bluetooth unaweza kununua usb bluetoth na ukachomeka na ukatumia bila shaka kila kitu kitakua sawa, je vipi kuusu radio au hometheatre ambayo haina bluetooth unaweza kufanya kama...
  6. Isayasitemanager

    Mahitaji na manunuzi ya vifaa vya kielektroniki kutoka Nairobi

    Naomba bei ya xiaomi redmi note 10 promax
  7. Isayasitemanager

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kuagiza simu China

    China kwenye online shoping sio? au maduka ya china
  8. Isayasitemanager

    Chipset Zip za MTK ni bora kuliko za SD?

    Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu kama za ifinixy na tecno, wakati ukinunua camera inakua nzuri sana? Lakin pia nini kigezo cha simu...
  9. Isayasitemanager

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Oya nimekupm sjui umeuona ujumbe maana sielewi au nitumie namba nitakutafuta kwa muda wang ila kama bidhaa ipo
  10. Isayasitemanager

    Je Kati ya Computer na Binadamu nani ni smart zaidi?

    Alieleta huu uzi humu inatakiwa akapimwe. Akili pengine hana akili nzuri au pengine labda zimefyutuka.....kwa akili ya kawaida ukalinganishe divice inayotegemea programer zinazotengenezwa na binadam uyouyo katika kurahisisha kufanya kaz zako? Basi tufanye hata gali ina akili kuliko mtu, mashine...
Back
Top Bottom