Ni uchochezi kweli maana huo mshale wa neno serikali kaelekeza kwny makalio! Unajua wanaume hatupendi kuchezewa makalio? Kwa nn asingeelekeza huo mshale mgongoni? Polisi wenyewe bosi wao Bashite hahaha!
Kwa tafsiri yako hii sheria zinazotungwa na kupitishwa Bungeni zisingekuwa zinahojiwa Mahakamani lakini kama una uelewa walau ndogo tu ya sheria utakuwa unajua madhara ya Mahakama ktk sheria zinazokinjana na Katiba.
Hii Ibara inawapa wabunge kinga ya kutokushtakiwa kwa wanayoyasema Bungeni. Immunity on the freedom of speech. Haitoi kinga dhidi ya Bunge kuvunja sheria. Ukijua tofauti kati ya immunity na ouster of jurisdiction hupati tabu kutafsiri ibara hii.
Yaani pesa huna alafu bado unaweka mashariti ya umri hapa?? Km unataka kulelewa tafuta shuga mami, wanye umri huo unaotaja tuachie sisi wenye pesa zatu. Kuwa wazi km unataka mtu wa kukusaidia maisha au mke?
U should first check your English before u know the procedures. Any way I know everything u would want to know about it plus agent sim cards at the cheapest price in the city. For more digestion u can call 0714721111
Kama atakuja mbovu zaidi ya Magufuli si ajabu CHADEMA kumkumbuka Magufuli ila jinsi alivyo akitokea mbovu zaidi yake vipofu wataona, viziwi watasikia ,mabubu wataongea na viwete wataruka kichura chura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.