Recent content by Isaya Mm

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Wanasheria mtusaidie moja kwa moja ni kosa la kimaadili je! Vipi upande wa jinai nalo ni kosa? ili tujue pia adhabu inayowahusu.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Hahahaa jina linasadifu uchafu alofanya.
  3. I

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kituo cha Mafuta Triple A Arusha ni wezi

    Hiyo nayo juzi imemkuta rafiki yangu Dodoma hajaniambia ni sheli gani lakini inaonekana kuna mchezo unaoendelea kwa wauza mafuta wa sheli.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Hakuna ongezeko wakubwa, subiri mshahara wako wa siku zote mim tayari nimepata hamna kitu kilichoongezeka
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika namba katika hali ya sehemu (eg: 2⅓ + 3¾) bila kutumia app

    2⅛ pamoja mkubwa
Back
Top Bottom