Recent content by isaro

  1. isaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

    nyie mnao amini huo uongo, endeleeni kuamini
  2. isaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

    jamaa wamepewa pesa, wamejitoa ufahamu, na kwa kuwa ni wavuta bangi, na ajira ni ngumu, walikuwa tayari kuchukua pesa na kujidharirisha. hayo mambo yako sana kenya. hata manabii wa uongo wanaojidai huponya watu wenye matatizo, hutumia ujanja huohuo kwa kuwanunua watu na kujidai wamepona, ili...
  3. isaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

    hii ni janja ya waganga wa kienyeji huko kenya. hawa jamaa ni wavuta bangi, mwenye gari ni msanii, wanachotaka ni kupata wateja kwa kutangaza biashara ya huyo mganga.
  4. isaro

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

    Fanyeni kazi, Rais anatimiza wajibu wake. Na kama una hoja za msingi, sidhani kutoa matusi kwa kiongozi Mkuu wa nchi ni busara.Tumieni vizuri hizi social media, zinaweza kuwasaidia badala ya kuzodoana.
  5. isaro

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Utawala wa awamu ya nne, mlikuwa siku zote kumtukana mzee kikwete kwamba anatumia pesa za umma kwa safari, kwamba yeye wakati wote ni kuchekacheka, mlilalamikia ubarifu wa mali za umma zilivyokuwa zinapondwa na wachache na mengine mengi. Leo mmepata Magufuli, hasafiri, hacheki, anabana matumizi...
  6. isaro

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Ebu fuatilieni miradi ya maendeleo muone mambo yanavyokwenda. Nyie mmekalia Rais, rais. Huyo ndiye Rais, ukiona vipi hama nchi.
  7. isaro

    JamiiForums Tanzania Mike Mushi, mmoja wa wenye hisa Jamii Media ahojiwa na Polisi

    Let me reserve my comments
  8. isaro

    JamiiForums Tanzania Bodi ya TRA yatoa ushauri kwa rais Magufuli, hata hivyo wakataliwa

    Kuvunjwa kwa bodi ni kuwajibika kwa Rais. Huyu Rais anafuatlia mambo mengi, madogo kwa makubwa. Nyie mnaona kama vile anachemka, lakini ukweli ni kwamba, kwa wafanya biashara wa kitanzania walivyo, ni rahisi kucheza na bodi, ili washauri wanavyotaka wao. Tusiwe na wasiwasi, tusubiri tuone mwisho...
  9. isaro

    JamiiForums Tanzania Reli ya Standard Gauge kutoka Dar-Mwanza kuanza kujengwa Disemba, 2016

    Watanzania wengi siku hizi tumekuwa watu wa kukatisha tamaa serikali kwa kila jambo. Tunatumiwa na wanasiasa wenye wivu binafsi kutuma ujumbe wa kukatisha tamaa.
  10. isaro

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    Nafikiri ni jambo jema kuwapa pongezi TRA, maana wenye data ni wao, wakusanya kodi ni wao, kuna sababu gani kubeza wanachokifanya. Na mara nyingi tumekuwa tunalalamika hatupati taarifa toka serikalini, sasa hivi tunapewa, tunaponda, baadhi ya watanzania bhana.
  11. isaro

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    Kwa mtizamo
  12. isaro

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nini kazi ya usalama wa Taifa TISS?

    Kazi ipo
  13. isaro

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kifo cha Steven Kibona na Gilman Rutihinda

    Wakati nyie mnaangaika na yaliyopita kuna radio ishaanza kuongea nyakati za usiku inatisha, inatoa, inchambua usalama,polisi ,pssb na vyombo vingi vya dola hawa wa usalama wako wapi madudu yote haya yanatokea.
Back
Top Bottom