Kwa uelewa wangu sidhani kama itakua na kumbukumbu hizo kwa mfano halotel usipotumia line yao kwa kipindi fulani unakuta namba imeuzwa na ukiangalia usajili hauikuti hiyo namba kwenye namba zilizosajiliwa kwa jina lako.
Labda waje wenye ujuzi zaidi kutoa ufafanuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.