Recent content by IsaacMG

  1. IsaacMG

    Wapi palipo na huduma nzuri za kliniki kwa wajawaziyo mkoa wa Mwanza?

    Habari wana Jf, mke wangu ana ujauzito wa wiki nane Kwa mjini wa ultrasound, ila amekuwa akipitia kipindi kigumu Sana ikiwemo tumbo kuuma sana Jambo ambalo naona kuwa linaweza kuwa hatari kwake. Sasa nilikuwa naomba kufahamishwa hospital inayotoa huduma nzuri ya klinic kwa wajazimzito pamoja na...
  2. IsaacMG

    Nachukua nafasi hii kuiomba Serikali yetu imsamehe Lissu

    Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu Kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima na taadhima kubwa, napenda kutoa ombi langu la dhati kwa Serikali kuzingatia kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana Mheshimiwa Tundu Lissu...
  3. IsaacMG

    Mwenye nyumba yangu alipotea hata ndugu zake siwajui, sasa nimejenga kwangu, Je niendelee kupangisha?

    Kabsa wala hujaongopa mm pia ni msukuma na haya mambo nimeyashuhudia zaidi ya mara mbili, kuna kisa cha mwisho kinafanana Sana na mtoa mada hapo juu. Miaka kama kumi iliyopita kuna jamaa alikuja jirani yetu akanunua kiwanja akajenga na gari akanunua na miladi mingine akaazisha sasa mwaka juzi...
  4. IsaacMG

    INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

    Duka bado lipo KARIBUNI sana
  5. IsaacMG

    Mfanyakazi wa kuuza Duka la electronics anahitajika Kahama mjini

    Habari wadau. Nahitaji binti mwenye uzoefu na KAZI ya kuuza VIFAA VYA ELECTRONICS. ENEO LA kazi ni Kahama. Sifa Umri kuanzia 18 _ 30 Ajue kusoma na kuandika Awe na mdhamini mwenye Mali isiyohamishika. Awe mwaminifu. Awe mchangamfu na mwenye kauli nzuri Kwa wateja. Mshahara maelewano Mwenye...
  6. IsaacMG

    INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

    Mkuu ukija tutopiga hesabu KIMOJA KIMOJA kulingana na bidhaa itakayokuwepo Kwa wakati huo na Nitakuuzia bei Ile Ile ya kununulia Kwa jumla, maana Duka mpaka muda huu linafanya KAZI.
  7. IsaacMG

    INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

    Nimeongeza nyingine picha moja
  8. IsaacMG

    INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

    Pich Picha nimeongeza nyingine Angalia upya
  9. IsaacMG

    INAUZWA Duka la vifaa vya electronics linauzwa Kahama mjini

    DUKA LA VIFAA VYA ELECTRONICS LINAUZWA KAHAMA. LINA TV, SOUNDBAR,SABUFA, PRESSURE COOKER, RICE COOKER BLENDER,HITA ZA KUCHEMSHIA MAJI PAMOJA NA PASI. LIKO SEHEMU YENYE MZUNGUKO WA BIASHARA, KODI YA FREMU NI LAKI MOJA. LENGO LA KUUZA NI KUHAMA MKOA KIKAZI. KWA MWENYE NIA NA BIASHARA HII...
  10. IsaacMG

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Habari zenu, natumai wote mu wazima wa afya. Leo kazini kulikuwa na mjadala mkali kuhusu majini na ramli. Kuna mtu amedai ramli au majini yanaweza kutambua mpaka aliyekuibia Mali yako, aliyetembea na mkeo au mchumba wako, hata kama hujaenda nae Kwa mtaalamu. Nikaona hili nililete JF ili...
  11. IsaacMG

    Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

    Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,? Naombeni majibu wakongwe.
Back
Top Bottom