Recent content by Isaac Chikoma

 1. Isaac Chikoma

  ICT Intern Needed

  Tunatengeneza website kwa ajili ya wateja, web applications and mobile applications. Atapata exposure, Gain experience from experts and many more so if you are interested karibu utume maombi yako
 2. Isaac Chikoma

  ICT Intern Needed

  AKROS LIMITED Calls for applications to any individual with medium level knowledge and experience in Website Designing and development. Kindly send your Application letter and Resume to info@akros.co.tz before 15th August 2017.
 3. Isaac Chikoma

  Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

  Let them try wamejitahidi kwa kiasi chao, Hizi kazi zinatakiwa zifanywe na a team of developers. You cant see each and everything. Ndo maana Facebook wanalipa bounty hunters wawasaidie kutafuta security flaws. Kuunda system yoyote ambayo inatumika online katika scale kubwa siyo mchezo mchezo...
 4. Isaac Chikoma

  Competent Website developer needed!

  JOB OPPORTUNITY 1 POST ADROIT SOLUTIONS LIMITED Adroit was established in 2012, specifically to deal with Information Communication Technology (ICT) services both software and hardware. Adroit is looking an experienced and innovative Web developer aged 20-30. Main roles Ø Candidate must have...
 5. Isaac Chikoma

  Msaada Namna ya Kuunlock Nokia Lumia 521

  Nawezaje kuunlock Nokia Lumia 521, carrier: T-Mobile iweze kutumia line za hapa bongo IMEI 355913056074698, Naomba Maujuzi, Asante
 6. Isaac Chikoma

  Naomba kuelimishwa kuhusu Google Adsense

  Asante mkuu, kwa ufafanuzi mzuri
 7. Isaac Chikoma

  Naomba kuelimishwa kuhusu Google Adsense

  Habari wakuu, Ningependa kufahamu kwa wenye experience na hii kitu sio tu kuisoma bali kufanyia kazi. Ni kiasi gani(range) ya pesa au malipo unaweza ukapata kupitia Google adsense, na malipo yake yanakuwaje. Nakaribisha maoni yenu. Asante.
 8. Isaac Chikoma

  Printer ipi ya Inkjet Technology inafaa kwa matumizi makubwa ?

  Habari wakuu, nahitaji kununua printer mpya inayotumia inkjet technology, Ni aina gani nzuri ambayo inaweza kufanya kazi kubwa na itoe output yenye high quality. asante
 9. Isaac Chikoma

  Namna ya kuzuia watu wasikopi content za blog yako

  Nipo serious, wakuu, kuna mtu alinipatia hiyo link nimsaidie kukopy content za hiyo tempelate, imeanza na maneno website redesign proposal template nimejaribu kila kitu, haikubali, labda m niambie kua pc yangu ina matatizo,
 10. Isaac Chikoma

  Namna ya kuzuia watu wasikopi content za blog yako

  Link Hiyo hapo wadau,https://www.pandadoc.com/website-redesign-proposal-template, copy hiyo tempelate kama ilivyo dont subscribe,just copy without taking a hastle, Ngoja tuone mautundu
 11. Isaac Chikoma

  Namna ya kuzuia watu wasikopi content za blog yako

  Copying can be prevented completely, nimeshakutana na site moja ya nje, hata ukidisable Javascript, fanya mautundu yako yote cant copy a thing, labda upige snapshots uandike manually, which is time taking.
 12. Isaac Chikoma

  Did they actually land on the moon ?

  Tunaweza kukubali kwamba wamarekani walipiga fix kipindi hicho, Lakini landing on the moon is very possible.
 13. Isaac Chikoma

  Game ya computer iliyonivutia

  Hitman assassins Hitman codename 47 Hitman Blood money Igi2 zote nimemaliza
 14. Isaac Chikoma

  Matokeo ya kidato cha sita 2014

  Bonyeza hii link kupata matokeo Matokeo ya kidato cha sita 2014
Top Bottom