Recent content by Isa The Girl

  1. Isa The Girl

    Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

    Muingiliano wa watu. Kuoana. Zamani tulikua tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Huwezi kuta mwarabu kaoa ama kazaa na mswahili. Ama mzungu naye kafanya hivyo. Siku hizi ndio mtindo wa kuigwa. Watu wako huru kuoana. Hivyo unao waona weupe peee fuatilia wazazi wao ama wazee wao lazima kuna uchakachuzi...
  2. Isa The Girl

    Nataka nimchome kwa ndugu zake

    Nawewe kwanini ukae uchumba miaka yote hiyo! Alafu unasema kuna tabia umeanza kuziona ambazo sizo...ni kawaida babaa, hiyo yako si uchumba tena, ni ndoa. Na kawaida ya binadamu mkishakaa pamoja muda mrefu mtajuana tu kwa mabaya na mazuri. Sasa pokea mapungufu ya mwenzio alafu jaribu kumjenga...
  3. Isa The Girl

    Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

    Tatizo siyo wanawake, tatizo ni watu wasiotumia akili zao vizuri. Maana mie hapo naona wote mlikua mnashida, anayetumia gari kama gia ya kuwapata wanawake na hao wanawake walioingia chaka...wote mna shida kwa kweli. Hakuna mjanja hapo, ujanja sio kujifanya tajiri ama siyo kutaka kula pesa za...
  4. Isa The Girl

    Ni nini maana ya neno "Shikamoo"

    Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani. Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na...
  5. Isa The Girl

    Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

    Nachoweza kukushauri ni tafuta msaada wa kiroho, kwa dini yako. Tafuta watu wa kiroho na wakusaidie kwenye dua na maombi. Kidunia hali yako inaweza chukuliwa poa tu na ni kawaida, lakini usijidanganyie hapo, siyo kawaida kuishi hivyo. Zingatia hili, mtafute Mungu sana. Sema naye na fungua roho...
  6. Isa The Girl

    Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

    Pole sana!! Wazazi ni muhimu katika maisha yetu. Wana mchango mkubwa sana wakuchochea tabia fulani na muelekeo wetu katika maisha. Wewe bado ni mdogo kiumri, hivyo jifunze mengi kupitia hizo changamoto kutoka kwa mama, usiache kuongea naye, usiache kumshauri vizuri na kumuombea. Mengine yote ni...
  7. Isa The Girl

    Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Imekaa vizuri, naimani kama ulivyoeleza sasa hivi tuko katika teknolojia ya juu hivyo hilo huenda linawezekana kabisa.
Back
Top Bottom