Kipaumbele chetu cyo katiba mpya ni kuua upinzani na kuwanunua wote hatutaki kupingwa ifikapo 2020 bungeni wote ni ndiyo mzee na hakuna wa kuibua hoja zaidi ya ndiyo kwa kila kitu[emoji2] [emoji2] [emoji10]
Pointless na akili za kitoto kama ni hivo hata simba iliikuta yanga na yanga kila mtaa ina mashabiki lkn dhahiri yanga bila simba ni sawa na bure but hata ccm japo iliitangulia chadema lkn vinategemeana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.