Recent content by Iron Man Triple 3

  1. I

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    Kudadekiiiii!!!!!!!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

    Sorry, Utani PM namba yako ya simu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

    Duuh! Nitakuja kukutembelea mkuu ili tujuane vizuri zaidi, Mimi nipo camp jirani hapa Acacia-Buzwagi gold mine.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

    Bibiye ipo Kahama sehemu gani?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

    Kuna UKIMWI kuzidi njombe na makete?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

    Hebu tuambie maana ya neno mshamba kwanza ili na sisi tupime kama kweli wasukuma ni washamba.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

    Mkuu pengine huijui vizuri Kahama! Kwanza tambua kuwa Kahama ni wilaya ya pili nchini katika kuchangia pato la taifa baada ya Ilala. Kahama inamiliki migodi miwili mikubwa nchini ambayo huwalipi basic nzuri wafanyakazi wake, Acacia-Buzwagi na Acacia-Bulyanhulu ambao ndiyo mgodi mkubwa wa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Marlaw?

    Ahaa, hey hey Ahaa, hey hey Ninataka niwahi kufika, Njia ina jam sasa wapi ntapita, Nimekaa karibia saa sita, Sasa kukaa nimechoka, oh baby, Sijamuona long time na, Ndo narudi toka mwezi jana Nimeshamwambia mama Nimefika tangu mchana Anajua nmeshafika, ameshapika, amekasirika Alipika tangu...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

    Wewe jamaa Best nasso siyo wa Mwanza ni msanii kutoka Musoma. Mwanza tunawakilishwa na Fid q + Young killer.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Loved her pussy lips!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Agot Gabriel Riak Generali Mwenye Umri Mdogo Zaidi Afrika

    Ha ha ha ha ha ha! Jamaa aendelee kuchonga ngenga ila siku bwana mdogo akivist TZ salute kama kawa.
Back
Top Bottom