Ndoa ni kama mungu haichunguziki haina mwalimu wala mjuzi. Unayofikiri yanatakiwa kufanyika kwa huyu kwa yule haviapply
Kuna wenza wengine mke asipokuwa mbabe Au mume hamna ndoa hapo
Huku mtaambiana vumilia usiulize akirudi kachelewa we chekacheka tu moe na juisi sa tisa usiku😂wapi.!!
Kuna...
Ni kweli pale coco inasemekana wadada wengi wanabakwa kwa kufundishwa kuogelea ila wanaona aibu kusema ukweli wakirudi huku wanajikausha lakini inapaswa pale na beach polisi ambao wnaaangalia usalama wa vitendo vinavyoendelea mana pale panabeba mkusanyiko wa watu wengi mno
tutasema ameanza kujirekebisha kitu ambacho hakikatazwi ukianza kufanya mema basi ya nyuma twasahau hata kwa mungu haangalii nyuma ili mradi umeanza kufanya mema
haya sio mambo ya kushabikia wala kufurahia hii inaonesha mkuu ana tatizo na ni wakati sasa wananchi kwa ujumla tuseme hatukubaliani tusiposema leo kesho kitafanywa kitu kikubwa zaidi tutazitamani siku za uhuru wetu na maisha yetu ya haki
yani watu watumie vyeo na mabavu kufanya maovu mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.