Recent content by iron fryier

  1. iron fryier

    Sijui kutongoza, msaada please

    Omba namba ya m-pesa nenda kwa wakala mtumie....simple and clear
  2. iron fryier

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Kile unachotakiwa ujifunze kuhusu mapenzi ni kutouweka moyo wako rehani,kupenda ni jambo zuri lakin huwa ni baya pale ambapo umpendae anapoanza kuleta pozi Hivyo njia ilio bora nikujiandaa mapema kisaikolojia Anza kufikiria namna unavyoweza kuishi bila yeye wakati bado mapenzi yako...
  3. iron fryier

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Njoo pm nikupe ushauri wa maana,mbona hilo swala simple....
  4. iron fryier

    Nina mapenzi ya dhati lakini sipati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

    Mimi mwenyewe nimekuwa nikiumizwa xana,na wanawake wasio na mapenzi ya dhati,so naona kama tunafafana vile,kama vp njoo PM tuyajenge! Mrembo.....
  5. iron fryier

    Ungekuwa wewe ungemfikiriaje ama ungefanyaje.....?

    Kula mzigo mkuu,maswala ya kufumaniwa tupa kule.. Ila nakuhurumia sana utakavyotolewa mkuku..[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
  6. iron fryier

    Huyu binti ananifanya nikonde

    Jaribu kukaa kimya kwa muda,kama anakupenda kweli atakuanza 2,Kama atakuanza mwambie ukweli kwamba haupendezwi na tabia yake hiyo Asipokuanza endelea na maisha..
  7. iron fryier

    Ukigundua kuwa partner wako amecheat, je waweza kumsamehe?

    Je? alifanya bila kufahamu,na kama alifaham,it means alifanya makusudi,sasa unaanzaje kumsamehe mtu anayefanya kosa kwa makusudi
Back
Top Bottom