We ni mse.nge tu..unatishia ajira ya serikali kwa mshahara gani?....
Hiyo takataka mnayowalipa madaktari ni mshahara?...we jamaa lofa kweli...nenda hapo Agakhan uone specialist wanampa shilingi ngapi...ninyi chawa ni washamba sana
Kwa kweli CCM ya sasa imekuwa na ujinga mwingi sana.....sitaki kuamini chama kimekosa watu wa maana...wakati mwingine unajiuliza nini kinaendelea...hivi hii tabia ya kuweka watu wenye uwezo mdogo inakisaidia vipi chama?...
Takataka kabisa
Naona mmepata sababu ya kumuangamiza...
Huyu jamaa anahitaji msaada zaidi kuliko wanachotaka kumfanyia...
Tabia ya kupigisha watu cheche ni tabia mbovu sana....
Kwa hiyo dudubaya anapingana na Serikali....Katambi amekosea sana..
Ila muda utaamua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.