Recent content by IRINGA ONE

  1. I

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Ally Kessy Mbunge Sijajua Vigezo Walivyotumia Kumpa Ubunge!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Mbunge Ndio Yule Wa Nkasi Kask. Wananchi Mnavuna Mlichopandaaa!
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga awataka wafuasi wa NASA wasiende kazini kesho

    Taratibu Kaka, Hahah
  4. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa ahadi nyingine kwa watumishi akiwa Tabora

    UMEUA KAKA.....
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuchangia michango kwenye mifuko ya wafanyakazi ni ujinga uliopitiliza

    MIMI SIKUJIUNGA KABISAAAA, SITA WEHU MIMI
  6. I

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mawakili wote wanaopanga kuandamana kesho kwa ajili ya Lissu

    Aisee mleta mada, lakini kumbukeni nasema kumbukeni
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa vyombo vya habari kumuhoji mtu ndani ya mahakama?

    RPC ALISEMA KUWA KWA MUDA ULE WANGETAKA KUMKAMATA WANGEMKAMATA NDANI YA MAHAKAMA KWANI MUDA ULIKUWA UMEISHA NA KILICHOKUWA KIMEBAKI NI MAJENGO, NAJIULIZA PAMOJA NA HOJA YA MLETA MADA KWAMBA HADHI YA MAHAKAMA NI WATUMISHI AU MAJENGO AU VYOTE MAJENGO NA WATUMISHI? ANY WAY KWANGU MIMI SIO KOSA .
  8. I

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

    FANYA KAZI KADRI UNAVYOLIPWA. OVER
  9. I

    JamiiForums Tanzania TRA kufunga vituo vya mafuta: Bei ya lita moja yauzwa 5000/ = kwa baadhi ya maeneo

    Yaani natoka hapa wewe hujengi hoja unapinga tuuuu.....tulia bro tushauriane tusonge mbeleeee
  10. I

    JamiiForums Tanzania TRA kufunga vituo vya mafuta: Bei ya lita moja yauzwa 5000/ = kwa baadhi ya maeneo

    Tunafahamu umuhimu wa kulipa kodi, ILA HII TABIA YA VIJANA KUTETEA KILA KITU HATA VIONGOZI WANAPOKOSEA INAKERA SANAAA, HAKUNA ALIYE MKAMILIFU. HAPA WANANCHI NDIO WANATESEKA JAMANI WAONEENI HURUMA
  11. I

    JamiiForums Tanzania TRA kufunga vituo vya mafuta: Bei ya lita moja yauzwa 5000/ = kwa baadhi ya maeneo

    Hahahahaaaa mkwepa kodi
  12. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Miss Yoga ulipotelea wapi mzee wa update
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai amejaa kwenye 18 za Mbowe, alalamika Kushitakiwa Peke yake

    YAANI HATA KAMA NI MPINZANI LAKINI NAE BINADAMU KAMA YEYE.......WATANZANIA TUKUMBUKE NI KWA MUDA TU, TUPPO DUNIANI NA HAKUNA ANAYEMILIKI NCHI HII. AHSANTE, NALOGI OFU
  14. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Siasa za shombo la Guru hazilipi

    hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, MTU WEWE UTAVUNJA MBAVU WATU.
Back
Top Bottom