Inasemekana mpaka sasa Jerry Muro bado hajaichangia Yanga. Kwa jinsi anavyopenda sifa na asivyo na breki angekuwa asharopoka kuwa mimi mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro nimechangia Sh ........ tusubiri
Kama c minyukano iliyokuwepo kati ya wanaccm wa Zenji na Bara dhidi ya Nyerere mara baada ya Jumbe kuvuliwa uanachama na kunuang'anywa vyeo vyake vyote pengine Mwinyi asingekuwa Rais wa pili wa JMT.
Siku zote wanasiasa wana ndimi mbili. Subiri siku moja amwagiwe ugali hapo ndio utathibitisha undumilakuwili wa wanasiasa.Jambo linalotia fora ni kwamba wizara aliyopo haijawahi kumuacha mtu salama.
Risasi kati ya 25-30 eti vita ya uongozi ndani ya chama, mara eti uhasama wa kazi yake ya uwakili. Kweli? Mbona alipotoa taarifa ya kufuatiliwa kwake hakuna hatua zilizochukuliwa!!!! Ile taarifa angeitoa spika wa bunge kwamba kuna gari inamfuatilia je IGP na vyombo vyake wangekaa kimya...
Msigwa kakamatwa, huyu ni kama tu ameshashinda ile kesi kwenye kamati ya maadili. Kwa jinsi walivyojitanabaishani dhahiri wanaweza kusema kasemwa mkulu hivo naye akamatwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.