Recent content by IreneMora

  1. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Ni vigumu Mimi,kukiuza hicho kiwanja,sababu kuna mambo hajakaa vizuri,ndani ya familia
  2. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Mfumo ni uleule kaka,last semester niliandika barua na kuahidi kwamba nitalipa ada,wakaniruhusu nifanye mitihani,ila matokeo yalivyotoka SUASIS yangu,ilifungwa (sikuweza kuview matokeo),kama wenzangu! Kwa sababu sikumaliza Ada.
  3. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Ahsante sana Kaka,Mungu akubariki,tuko pamoja
  4. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Course yangu ni ya miaka mitatu,na Mimi nipo mwaka wa tatu kwa sasa! Ada ya mwaka mzima wa Masomo ni 804,500/=,ambayo bado sijalipa. Na pia mwaka jana nikiwa mwaka wa pili nilibakisha deni la ada 454,500/=.
  5. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Chuo Kwanza ili niweze kumalizia Ada na malipo mengine yanayonikabili kwa sasa, biashara ni baadae ndugu!
  6. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Mimi nasoma SUA,nachukua Bsc.Food Science and Technology, 23years! Niko Mwaka Wa Tatu wa masomo! Mwanzoni Swala la kulipa Ada,Mama yangu alikua ananilipia,lakini matatizo yakaikumba familia yetu,Mama akawa anaumwa,anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo na presha,hali yake ikawa ni kulala tu...
  7. IreneMora

    Naomba mtu wa kunipa Mkopo nimalizie masomo yangu.

    Habari wandugu zangu,Wakubwa shkamoo, Mwenzenu nimekumbwa na tatizo kidogo! Nilikua nimeanza vizuri,sasa naona nashindwa kumalizia Ada yangu ya Chuo,naomba msaada wenu,na Niko mwaka wa Mwisho,Ni Mimi Irene niko Sokoine University of Agriculture (SUA), Namba yangu ya mawasiliano 0657859843
  8. IreneMora

    Someone serious aje tufanyee biashara.

    Nasoma SUA mwaka wa Tatu,ndo namalizia kama unaweza kunisubiri mwakani,tunaweza kuwa Partners,kwenye biashara yako
  9. IreneMora

    Nahitaji mkopo wa 3m narudisha baada ya miezi 6 na riba

    Dhamana yangu ni kiwanja kipo Dar
  10. IreneMora

    Nahitaji mkopo wa 3m narudisha baada ya miezi 6 na riba

    Niko Morogoro Najishughulisha na Biashara ndogondogo. Nahitaji kuanza ufugaji sasa kidgo,ela imenitupa mkono. Ndio maana naomba mkopo.
Back
Top Bottom