Nahitaji mkopo wa 3m narudisha baada ya miezi 6 na riba

IreneMora

Member
Sep 26, 2016
16
0
Habari za huku ndani wakuu, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavojielezea.
Naomba mkopo wa 3m,na nitarejesha baada ya miezi 6.
Mimi niko Morogoro.
Dhamana yangu ni Kiwanja
Nashukuru.
 
Habari za huku ndani wakuu, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavojielezea.
Naomba mkopo wa 3m,na nitarejesha baada ya miezi 6.
Mimi niko Morogoro.
Dhamana yangu ni Kiwanja
Nashukuru.


Kwa nini usiende Benki?
 
Toa maelezo yajitoshereze wa nini?
Unafanya Kazi gani au biashara gani?
Dhamani ipi unawekea?
 
Niko Morogoro
Najishughulisha na Biashara ndogondogo.
Nahitaji kuanza ufugaji sasa kidgo,ela imenitupa mkono.
Ndio maana naomba mkopo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom