Muoe tu jamani ataumizwa sana, maana mara ya kwanza kaachwa tena ya pili umuache? Anaweza kuhisi kabebeshwa dunia nzima peke yake... ww muoe hata uke wenza mpe huduma zake basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA ZANGU
maji ya kunde
Sio mnene yani mwembamba kiasi
Miaka 25
Nina mtoto mmoja
Mjasiriamali
Mcha Mungu...
Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.