Recent content by Irene17

  1. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Aahidi Fursa kwa Vijana Singida Kupitia Mradi wa Bomba

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, unaopita Singida, utakuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana wa eneo hilo na Watanzania kwa ujumla. Mradi huu wa kimkakati, ujulikanao kama East African Crude...
  2. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura milioni 37 kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi. Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

    Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
  4. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tukiwaambia 'no reforms no election' ni mradi wa watu wachache mnabisha! haya sasa!

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi. Yaani kiufupi iko hivi, Mwabukusi akiwa na CHADEMA anasema No Rifomu No...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wakili mzungu hawezi kutetea demokrasia inayoliliwa na CHADEMA

    Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani. Wakoloni...
  6. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajui washikilie wapi?

    Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE. Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao. Hii ni kwa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya sekta ya afya katika mkoa wa Tanga

    1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92. 2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74. 3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamejenga nyumba mpya kwa kasi, utawala wa rais Samia

    Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga. Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka...
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Mwaka 2010 Nchi ya Kenya kwasababu ya "Pressure" kutoka Vyama vya Upinzani,WAKENYA "walikurupuka" na kuja na KATIBA MPYA ambayo kimsingi ilikuwa na madhara makubwa kwa Nchi hiyo mpaka Jana!Kelele za REFORMS sio mpya sana katika ukanda wa Afrika Mashariki huu! Pressure hiyo kubwa iliyotokana na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa Vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umuhimu wa kila mtanzania kushiriki kupiga kura

    Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

    Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Lissu Anapokuwa Mwanasheria Anayedharau Sheria, Wingi wa Mawakili Hautamsaidia

    Mtaalaam mmoja wa sheria Albert Venn Dicey aliwahi kutafsiri dhana ya Utawala wa Sheria (Rule of Law) kuwa ni “kufuata sheria kama zilivyo.” Lakini bingwa mwingine wa masuala ya uendeshaji wa makosa ya jinai, utetezi na ushahidi, Prof Abdallah Safari, anasema katika andiko lake “Criminal...
Back
Top Bottom