Recent content by irene kawili

  1. I

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Habari zenu wanaJF. natumaini mnaendelea vema na shughuli zenu za kimaendeleo. ninaomba msaada wa kutambua maeneo yenye wakazi na watumiaji wengi wa vifaa vya pikipiki. endapo kuna mtu anaweza kunisaidia hilo, tafadhali nijulishe kwa whatsap 0784-419775. natanguliza shukrani zangu za dhati kwa...
  2. I

    Natafuta kazi ya assistant accountant au cashier

    Habari zenu wadau? Kwanza poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu toka UDSM tangu mwaka 2013, nina degree ya uhasibu (BCOM in Accounting). Nina ujuzi na uzoefu katika kazi zifuatazo: -preparation of sales invoices and delivery notes -preparation of VAT returns -making bank reconciliation...
  3. I

    Opportunity kubwa kwa wasanii na waandaaji wa filamu Tanzania

    Habari zenu wadau? Kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na kazi za wasanii wa hapa nyumbani, hali iliyonifanya niamue kukielekeza kipaji changu cha utunzi ktk filamu na nimeshatunga na kuandika script nyingi. Kwa kuwa sipendelei kuwa muigizaji, nimeona ni vema kuzitoa kwa wasanii ili kuikuza...
  4. I

    Nssf update

    kumbe bado hawajaita? mi nijua ndo shatoswa eti.
  5. I

    Tujiajiri kwa kupitia wazo hili

    DOUBT! DOUBT! DOUBT!!! sijui utanisaidiaje hadi nikuamini??????????
  6. I

    Barua ya wazi kwa wahitimu ambao bado wanatafuta ajira

    Dah! Nimejiona kama nipo class vile.... nashukuru sana mkuu... nimepata nguvu mpya... Kwa upande wangu nilipenda kujiajiri tangu nipo chuoni... kwa maneno yako naamini ipo siku my dream will come true... Thanks very much!!!!!!!
  7. I

    Namna ya kujibu maswali 25 kwenye Oral Interview

    it is very useful for job seekers... thanks a lot!
  8. I

    Hii kutoka UTUMISHI mnaionaje?

    yaani kila njia ina faida zake na hasara zake... kwangu naikubali kwa sababu inamrahisishia mwombaji maana wengine wanashindwa kuomba kwa kukosa nauli ya kwenda posta na pesa ya kutoa kopi vyeti na kununua stemp..
Back
Top Bottom